Maistro 1
JF-Expert Member
- Sep 4, 2015
- 422
- 181
Wateja wa StarTimes naona tunaibiwa kijanja yaani tumetangaziwa kuwa StarTimes itaonyesha Copa America Centanario live mechi zote, cha kushangaza kuna baadhi ya mechi hawaonyeshi kabisa maana channel zao zinazo onyesha mpira zinakuwa hizimo kabisa maana zinaandika 'No service !'. Hili tatizo limekuwa sugu, mimi ile mechi ya semi - final kati ya Angeina vs USA sikuiona nilisubila alfajiri nikaambulia kuandikiwa No service.
Leo tena ambayo ni siku ya Fainali kati ya Agentina vs Chile, channel hazionekani tena, yaani hazimo kabisa, kuna neno lao maarufu 'No service' cha kushangaza wanaendelea kututangazia eti tulipie kifurushi cha mambo, sasa sisi tumelipia kwa ajili ya hiyo Copa America na hatuoni na still wanazidi kutangaza, tuchukue hatua gani?
Je hawa wanajua walifanyalo? Au ndiyo ule msemo kuwa Tanzania ni shamba la bibi, kama TCRA wako fair StarTimes wanyang'anywe masafa maana huduma zao hazina ubora haziaksi maana halisi ya Digital.