StarTimes wanyang'anywe masafa

Maistro 1

JF-Expert Member
Sep 4, 2015
422
181
Wateja wa StarTimes naona tunaibiwa kijanja yaani tumetangaziwa kuwa StarTimes itaonyesha Copa America Centanario live mechi zote, cha kushangaza kuna baadhi ya mechi hawaonyeshi kabisa maana channel zao zinazo onyesha mpira zinakuwa hizimo kabisa maana zinaandika 'No service !'. Hili tatizo limekuwa sugu, mimi ile mechi ya semi - final kati ya Angeina vs USA sikuiona nilisubila alfajiri nikaambulia kuandikiwa No service.

Leo tena ambayo ni siku ya Fainali kati ya Agentina vs Chile, channel hazionekani tena, yaani hazimo kabisa, kuna neno lao maarufu 'No service' cha kushangaza wanaendelea kututangazia eti tulipie kifurushi cha mambo, sasa sisi tumelipia kwa ajili ya hiyo Copa America na hatuoni na still wanazidi kutangaza, tuchukue hatua gani?

Je hawa wanajua walifanyalo? Au ndiyo ule msemo kuwa Tanzania ni shamba la bibi, kama TCRA wako fair StarTimes wanyang'anywe masafa maana huduma zao hazina ubora haziaksi maana halisi ya Digital.
 
Wateja wa StarTimes naona tunaibiwa kijanja yaani tumetangaziwa kuwa StarTimes itaonyesha Copa America Centanario live mechi zote, cha kushangaza kuna baadhi ya mechi hawaonyeshi kabisa maana channel zao zinazo onyesha mpira zinakuwa hizimo kabisa maana zinaandika 'No service !'. Hili tatizo limekuwa sugu, mimi ile mechi ya ya semi - final kati ya Angeina vs USA sikuiona nilisubila alfajili nikaambulia kuandikiwa No service. Leo tena ambayo ni siku ya Fainali kati ya Agentina vs Chile, channel hazionekani tena, yaani hazimo kabisa, kuna neon lao maarufu 'No service' cha kushangaza wanaendelea kututangazia eti tulipie kifurushi cha mambo, sasa sisi tumelipia kwa ajili ya hiyo Copa America na hatuoni na still wanazidi kutangaza. Je hawa wanajua walifanyalo? Au ndiyo ule msemo kuwa Tanzania ni shamba la bibi, kama TCRA wako fair StarTimes wanyang'anywe masafa maana huduma zao hazina ubora haziaksi maana halisi ya Digital.
Angalia kifurusho ulichopo. Kinachorusha ni kuanzia mambo cha 12,000 na kuendelea. Unaweza kulipa 12,000 lakini ukawa upo kwenye kifurushi cha chini. Angalia kisha hama kwani kwnda juu ruksa.
 
Angalia kifurusho ulichopo. Kinachorusha ni kuanzia mambo cha 12,000 na kuendelea. Unaweza kulipa 12,000 lakini ukawa upo kwenye kifurushi cha chini. Angalia kisha hama kwani kwnda juu ruksa.[/QUOTE
Angalia kifurusho ulichopo. Kinachorusha ni kuanzia mambo cha 12,000 na kuendelea. Unaweza kulipa 12,000 lakini ukawa upo kwenye kifurushi cha chini. Angalia kisha hama kwani kwnda juu ruksa.
Nimelipia na hiyo channel nilikuwa naiona, ila kwa vile leo ni fainali ndiyo maana haionekani maana hayo machanneli yame specialize kuonyesha maradui ya mechi mambali mbali. So yanasubilia kuturekodia ndo ya turushie. Ila nimekoma sitpoteza tena hela yangu kulipia huma za startimes nitaendelea kuangalia local channels tu
 
Jamii forum acheni racism ya threads, munabagua sana threads mutatuboa, hata kama kuna sharia ya mitandao siyo hivyo.
 
Ya Hiyo channel TBC si waliwapa Wachina ili waiboreshe, badala kuingiza pesa za uhakika kiwe kituo bora kimekuwa hovyo. Mwezi wa tatu walikamatwa wanaingiza simu za mkononi zisizolipiwa kodi wakati sio shughuli yao iliyowaleta kuwekeza Nchini
 
Wanaandika 'No service' ili ukienda kushtaki waseme kulikuwa na tatizo la kiufundi kwenye mitambo
 
Mkiambiwa njooni Azam mnajifanya vichwa ngumu hata siwaoneeni huruma mmeyataka wenyewe!
 
Back
Top Bottom