Startimes waliweza vipi kuondoa scratch wakati vya wazawa vinapumulia mashine?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,799
2,000
Startimes waliweza vipi kuondoa scratch wakati vya wazawa vinapumulia mashine?

Mnaokumbuka Startimes ndo alikua bingwa wa kuscratch mwanzo mwisho

Ilifika hatua ikawa Startimes ni Scartch na scratch ni startimes

Ikawa ukitaja tu Startimes unataja Scratch lakini inashangaza kwao ilishabaki kama stor tu na wanazidi kuchanja mbuga huku kampuni za Wazawa kama Continental na Digiteck zikifa kifo kitakatifu

Mfano continental ni mwaka wa 4 bila chochote au maboresho yoyote wala bidhaa mpya au yoyote walishajifia mpaka najiuliza wanakwama wapi wakati biashara ya visimbuzi ni nzuri sana unauza tu huduma na vitu vyenye ubora unapiga hela za kutosha hawa continental walikwama wapi?Na hawa startimes waliweza vipi kuondoa scratch na kuwa juu kisoko huku wakijisafisha kutoka kuwa king'amuzi cha Scratch hadi kuwa kisimbusi kizuri kwa tamthilia movie na ubora wa picha japo wanaiba vifurushi yaani majizi hawa havikai hata mwezi?
 
kadefeghe

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
333
500
Cjawah kujutia kutimia startimes..dishi nmelifunga 2017..cjawah mwita fundi wala halijawah kustratch hata ck moja...hata mvua ikiwa ya kawaid inapiga mzigo...shidaa mvuaa ikiwa kubwaa..nashkuru pia tamthilia za kina mama zipo wanaangalia tu manuu..na gangaaa...wanajitahdi sn japo wana mapungufu ykeee piaa
 
toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,799
2,000
Sana ila tatizo ni wezi wa vifurushi
Cjawah kujutia kutimia startimes..dishi nmelifunga 2017..cjawah mwita fundi wala halijawah kustratch hata ck moja...hata mvua ikiwa ya kawaid inapiga mzigo...shidaa mvuaa ikiwa kubwaa..nashkuru pia tamthilia za kina mama zipo wanaangalia tu manuu..na gangaaa...wanajitahdi sn japo wana mapungufu ykeee piaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom