tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,238
- 7,110
Hata kwangu hazipo kabisa.Ujumbe ni NO ACCESS NOT SUBSCRIBED ila hata hizo local channels zimefutwa yaani sizioni katika list
Hata kwangu hazipo kabisa.Ujumbe ni NO ACCESS NOT SUBSCRIBED ila hata hizo local channels zimefutwa yaani sizioni katika list
Tangu 2018 bado mnafanyia kazi tu daahHabari yako f de solver; channel ya Bollywood; bado ipo ingawa kwa sasa imebaki lugha ya kiingereza tu.
Tunatambua wapenzi wengi wanapenda lugha ya kiswahili pia; tunalifanyia kazi hili pia
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Kama channel haziko kwenye orodha ya channel inamaana zimetoka kutokana na antena/dish lako kupata shida. Jaribu kufanya automatic search; kama haujazipata rekebisha dishi/antena yako kabla ya kufanya automatic search.Ujumbe ni NO ACCESS NOT SUBSCRIBED ila hata hizo local channels zimefutwa yaani sizioni katika list
Habari yako tamsana Kama channel haziko kwenye orodha ya channel inamaana zimetoka kutokana na antena/dish lako kupata shida. Jaribu kufanya automatic search; kama haujazipata rekebisha dishi/antena yako kabla ya kufanya automatic search.Hata kwangu hazipo kabisa.
Kumbe hili litakuwa tatizo la wengi,startimes mturejeshee local channels (FTA) kabla hamjakimbiza wateja maana hata bei za vifurushi vyenu ni za kibepari 15000 kwa 30000!!!! Angalau mpoze bei iwe kama zamani mtu ulikuwa na uwezo wa kununua kifurushi cha 6000 kwa mweziHata kwangu hazipo kabisa.
Habari yako. Suala la Bollywood lugha ya kiswahili tunalifanyia kazi. Unaweza endelea kutizama kwa lugha ya kiingereza au pia channel nyingine kwa lugha za lugha ya kiswahiliTangu 2018 bado mnafanyia kazi tu daah
Mnafeli
Hapana hakuna tatizo hili ni setup kwa mteja husika.Kumbe hili litakuwa tatizo la wengi,startimes mturejeshee local channels (FTA) kabla hamjakimbiza wateja maana hata bei za vifurushi vyenu ni za kibepari 15000 kwa 30000!!!! Angalau mpoze bei iwe kama zamani mtu ulikuwa na uwezo wa kununua kifurushi cha 6000 kwa mwezi
Nilihama kutumia king'amuzi chenu sababu ya kuondoa Bollywood Bollywood swahiliHabari yako. Suala la Bollywood lugha ya kiswahili tunalifanyia kazi. Unaweza endelea kutizama kwa lugha ya kiingereza au pia channel nyingine kwa lugha za lugha ya kiswahili
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Hili zoezi nimelifanya ila hazijarudi bado. Mbona zingine zipo vizuri? Channel ninazozikosa ni ITV, EATV, STAT TV na CLOUDS TV.Habari yako tamsana Kama channel haziko kwenye orodha ya channel inamaana zimetoka kutokana na antena/dish lako kupata shida. Jaribu kufanya automatic search; kama haujazipata rekebisha dishi/antena yako kabla ya kufanya automatic search.
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
OK ngoja nifanye hizo setting nitatoa mrejeshoHapana hakuna tatizo hili ni setup kwa mteja husika.
Karibu
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Aisee nimebadili mwelekeo wa antena nikasearch automatic, zimerudi zote. Heko StarTimes TanzaniaOK ngoja nifanye hizo setting nitatoa mrejesho
Asante kwa maelezo hayo,napenda kutoa mrejesho kuwa nimefanya setting na channels zote zimerudi kama kawaidaHapana hakuna tatizo hili ni setup kwa mteja husika.
Karibu
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Nami pia zimerudi,startimes ndio wazalendo kweri kweri Tbc1 sio poa kwa kipindi cha wiki kama moja cha kuangalia TBC nimejikuta nimepoteza zaidi ya kilo 15 za mwiliAisee nimebadili mwelekeo wa antena nikasearch automatic, zimerudi zote. Heko StarTimes Tanzania
Ahsante na Karibu sanaNami pia zimerudi,startimes ndio wazalendo kweri kweri Tbc1 sio poa kwa kipindi cha wiki kama moja cha kuangalia TBC nimejikuta nimepoteza zaidi ya kilo 15 za mwili
Karibu sanaAsante kwa maelezo hayo,napenda kutoa mrejesho kuwa nimefanya setting na channels zote zimerudi kama kawaida
Sipati channel ya capital tv.... Ni kwamba haipo kwenye kingamuzi chenu au shida ni nini?Habari zenu wanaJamiiForums
Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Habari yako. Capital TV haipatatikani katika kisimbuzi cha StarTimes. Tafadhari fuatilia unaweza kuangalia channel kama eatv, tve, clouds, wasafitv zinamaudhui sawa.Sipati channel ya capital tv.... Ni kwamba haipo kwenye kingamuzi chenu au shida ni nini?
Habari yako, mfumo wa DTT (antena) hauna shida kabisa kwenye hali ya hewa (hauhathiriwi kabisa) ukilinhanishwa na DTH (dish) ambao nao ni kwa kiasi kidogo.Nilikuwa natumia antenna sasa nimehamia kwenye dish nilichogundua mvua inaponyesha au wingu zito huduma haipatikani sasa sielewi ni kawaida au mfungaji kafanya kazi chini ya kiwango
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app