StarTimes Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 260
- 140
- Thread starter
- #1,701
Habari yako je unatumia kisimbuzi cha antena au cha dish?StarTimes Tanzania sio kweli hiyo chanel haipo mmeitoa
Habari yako je unatumia kisimbuzi cha antena au cha dish?StarTimes Tanzania sio kweli hiyo chanel haipo mmeitoa
Hivi Bollywood swahili ile mlikua mnaonyesha movie za kihindi zilizotafsiriwa mmegoma kuileta tangu muiondoeHabari yako je unatumia kisimbuzi cha antena au cha dish?
Habari yako f de solver; channel ya Bollywood; bado ipo ingawa kwa sasa imebaki lugha ya kiingereza tu.Hivi Bollywood swahili ile mlikua mnaonyesha movie za kihindi zilizotafsiriwa mmegoma kuileta tangu muiondoe
Habari yako; kingamuzi na antena 69000. Karibu sanaNaomba kujua Bei ya king'amuzi Cha Antenna.....
Kesho nakuja kununua King'amuzi chenu ili niachane na DSTV.Habari yako; kingamuzi na antena 69000. Karibu sana
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Habari yako, kwa sasa TV tumaini haipo kwenye orodha ya channel zetu; na tunatambua kuwa wateja wengi wanapenda. Tunaendelea kufanya Juhudi ili kuirudisha tenaNapenda kujua kama Tumaini tv mna mpango wa kuirudisha au la
Karibu sana; kingamuzi licha ya kuwa bei rahisi lakini unaweza kupata channel zote za nyumban bure kabisaKesho nakuja kununua King'amuzi chenu ili niachane na DSTV.
Habari yako. Tunafanyia kazi hili na tunatumai zitaongezeka karibuni.Mbona redio mnatubania?..yani Kuna redio mbili tu TBC taifa na TBC fm
Hongereni sana. Vipi kuhusu mechi za mpira za England mnaonesha?Karibu sana; kingamuzi licha ya kuwa bei rahisi lakini unaweza kupata channel zote za nyumban bure kabisa
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Habari je ukiweka channel nyingine unapata ujumbe gani?Mie king'amuzi changu kinaonesha tbc1 tu,mwanzo haikuwa hivyo nilikuwa naangalia local channels bila shida naomba mnirejeshee local channels namba ya king'amuzi ni 02035892652
Habari yako Masseto tunashukuru kwa maoni, tutafikisha idara husika.Mjitajidi kukimbizana na technologia,, nimenunua king'amuzi cha startimes antenna hakina HDMI ni only AV, hakuna USB PORT, this is still analog
Kwanini mmeondoa local channels zote kwenye king'amuzi changu cha antena?. Kama mmeziondoa sio bure tena niachane na nyie kabisa.Karibu sana; kingamuzi licha ya kuwa bei rahisi lakini unaweza kupata channel zote za nyumban bure kabisa
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Ujumbe ni NO ACCESS NOT SUBSCRIBED ila hata hizo local channels zimefutwa yaani sizioni katika listHabari je ukiweka channel nyingine unapata ujumbe gani?