Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Ofa za namna hiyo haziwezi kuisha wakati king'amuzi hakijanunuliwa. Zinaanza wakati unaposajili king'amuzi kama incentive kwa wateja. Ofa hiyo ni tofauti na zile ofa za wateja wote kwa ujumla. Kama walikuahidi kuwa ukinunua unapata ofa halafu hayo ndio yamekukuta basi huo n uhuni. Nakushauri uwasiliane na huduma kwa wateja upate ufafanuzi.
 
Nimewasiliana nao wamenielekeza

Hivi kwann kweny dish kifurush kikiisha mnakata vituo vyote mpaka vya nyumbani?
 
11 of decoder: 0067 3419 887
11 of decoder: 2971 2815 3943 7552 2
Smartcard: 0181 9482 503
naitwa marwa p sadiki, naishi Moshi
habari startimes nna shida 3
1. couds tv na channels zingine zimepotea now nkisearch autosearch napata channels 66 badala ya 75 kama mwanzo
2. parental control password naomba reset niliweka 2543 ila kwa sasa haifanyi kazio
3. naomna kuchange namba ya kingámuzi kutoka 0752216754 kuja 0674028267 sababu ni namba imepotea na uwezekano wa kurenew ni mdogo hvyo nimesajili mpya. namba ya simu nayotumia kwa sasa ni 0674028267
msaada plz asante
 
11 of decoder: 0067 3419 887
17 of decoder: 2971 2815 3943 7552 2
Smartcard: 0181 9482 503
naitwa marwa p sadiki, naishi Moshi
habari startimes nna shida 3
1. couds tv na channels zingine zimepotea now nkisearch autosearch napata channels 66 badala ya 75 kama mwanzo
2. parental control password naomba reset niliweka 2543 ila kwa sasa haifanyi kazio
3. naomna kuchange namba ya kingámuzi kutoka 0752216754 kuja 0674028267 sababu ni namba imepotea na uwezekano wa kurenew ni mdogo hvyo nimesajili mpya. namba ya simu nayotumia kwa sasa ni 0674028267
msaada plz asante
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
Hivii vifurushiii vimegawanyikaaaje kwa upande wa antenaa
 
Me bwana king'amuz chang channel zinatowek tatz nn?
 
Mbon mnawek movie za ki Nigeria kwenye chanel ya star movie pls mnakera mmekuwa hamtupi mabaharia sababu ya kufatilia chanel maan hamn cha maana
 
weka hapo signal zinapooneshwa then chezesha antena ukizungusha kila upande mpaka ziongezeke kufikia 50.then utaseach chanel upya.mm kwangu signal ipo chini ipo 45 lakin hizo chanel ulizotaja nazipata
Sijawah kufikisha signal strength 40 naishiaga 39 hapo nimejitahidi signal quality ndo huwa mpk 90 nafikisha
 
Mm nawapendea WAARIS tu ila nyie watu wa Startimes ni wa hovyo tu

Kifurushi cha nyota cha siku kilikua 500 per day tamaa ikawaingia mkafanya 750 mambo kilikua 1000 per day tamaa ikawapanda mkageuza 1500

Hovyo kweli nyie
 
Leo nimeona kulala bila kuwapa "MAKAVU" yenu itakua sio poa

Kwanza nyie Startimes ni mabingwa wa tamaa hampendi kumuona mteja akifaidi kabisa nyie ni wanyonyaji mabeberu wakubwa

Mfano mdogo tu mnapandisha vifurushi holela kwa speed isiyo ya kikawaida mfano:-

Mwaka 2016 kifurushi cha NYOTA kilikua ni elfu 4 tu leo mwaka 2019 kimeshafika elfu 8

Haya dishi kifurushi cha nyota kilikua 6000 leo hii ni 11000 halaf channel zenyewe sasa hata 20 hazifiki kwa hicho kifurushi

Haya mmekuja na vifurushi vya siku
Mmeanza na cha nyota cha siku ni sh 500 channel 18 juzi mmeingiwa na tamaa mmepandisha tena 750 cha siku hivi mpoje?

Cha mambo kwa siku ni 1000 leo mmekurupuka mmebadilika mara 1500

Kwanini mnapandisha tu tena haraka haraka?kwanini hamuwi kama visimbuz vingine?

Shusheni vifurushi watu walipe kwa wingi bila hivyo anguko lenu linakuja maana sahv local channels ni bure msipojenga ushawishi wa kushusha vifurushi watu walipie itakula kwenu
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom