Ongezeni channel za movies,st movies pekee haitoshi na pia wekeni current bongo movies kwenye channel yenu ya st Swahili
Kwangu mie haizingui naona fresh kbsUbora wa picha uko vzr? Mvua ikinyesha inakuaje ,haizingui bro
Kwahiyo ting na star times bora kipi bro nahitaji kununua kwa sasa lengo ni local ChanelKwangu mie haizingui naona fresh kbs
Muonekano wa star times na sauti ni bora?Kwaninini king'amuzi changu Cha star tlimes hakionyeehi local channels Zaid ya TBC na Safari, Ni dish
Nipeni hatua za kufanya I'll kionyeshe
huwa nabadili settings inabadilika and now naangalia star guide tu siwezi angalia TBC na Safari wao wanarudia vpindi pia siangalii ndo nawasubiri Hawa jamaa wajibu so Sina uhakika km sauti iko poa pole na nimeunga KWENYE sub woofer sijuiMuonekano wa star times na sauti ni bora?
huwa nabadili settings inabadilika and now naangalia star guide tu siwezi angalia TBC na Safari wao wanarudia vpindi pia siangalii ndo nawasubiri Hawa jamaa wajibu so Sina uhakika km sauti iko poa pole na nimeunga KWENYE sub woofer sijui
...Kwaninini king'amuzi changu Cha star tlimes hakionyeehi local channels Zaid ya TBC na Safari, Ni dish
Nipeni hatua za kufanya I'll kionyeshe
Ubora wa picha ukoje bro?Tamthili zimerudi nyuma veepee
Hawa hawafai Serikali inasema lock channel bure lakini ukiishiwa kifurushi wanakata zote. Ukiwapigia simu wanaomba namba ya kisimbusi wanakwambia subiri dakika 5. Ndio nitolee hovyo kabisa hasa.
Nimestaajabu kweli leo, tangu kumekucha sipati ITV wala EATV.
EBU WATAALAMU WA MITNDAO NIELEWESHENI. NATUMIA STAR TIMES.
Nimestaajabu kweli leo, tangu kumekucha sipati ITV wala EATV.
EBU WATAALAMU WA MITNDAO NIELEWESHENI. NATUMIA STAR TIMES.
TBC2 niyakulipiaTbc2 unaipata bro?
Haaa si yabure? Unatumia dish paytv au FTA?TBC2 niyakulipia