Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Ongezeni channel za movies,st movies pekee haitoshi na pia wekeni current bongo movies kwenye channel yenu ya st Swahili
 
Kwaninini king'amuzi changu Cha star tlimes hakionyeehi local channels Zaid ya TBC na Safari, Ni dish

Nipeni hatua za kufanya I'll kionyeshe
 
Muonekano wa star times na sauti ni bora?
huwa nabadili settings inabadilika and now naangalia star guide tu siwezi angalia TBC na Safari wao wanarudia vpindi pia siangalii ndo nawasubiri Hawa jamaa wajibu so Sina uhakika km sauti iko poa pole na nimeunga KWENYE sub woofer sijui
 
Hio Chanel inaonyesha nini hasa?
huwa nabadili settings inabadilika and now naangalia star guide tu siwezi angalia TBC na Safari wao wanarudia vpindi pia siangalii ndo nawasubiri Hawa jamaa wajibu so Sina uhakika km sauti iko poa pole na nimeunga KWENYE sub woofer sijui
 
Kwaninini king'amuzi changu Cha star tlimes hakionyeehi local channels Zaid ya TBC na Safari, Ni dish
Nipeni hatua za kufanya I'll kionyeshe
...
Wamekupa bonus ya safari ...hongera.
...Kisimbusi cha dishi ni cha starsat .. ulisoma vigezo na masharti kuzingatiwa..
 
Hawa hawafai Serikali inasema lock channel bure lakini ukiishiwa kifurushi wanakata zote. Ukiwapigia simu wanaomba namba ya kisimbusi wanakwambia subiri dakika 5. Ndio nitolee hovyo kabisa hasa.
 
Back
Top Bottom