Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

@ Star times, nauliza mbona king'amuzi changu kimekata Chanel kabla ya muda kufika yan kifurushi kilitakiwa kuisha tarehe 24 mwez huu,, sasa mmekata leo? Kwa non yan
 
Aisee yani kama double kara tangu mwaka juz kama cjasahau tafuten tamthilia mpya kama hamuwez muwe mnaweka movie za kibongo tu
Na three side of ana toka sijazaa mpk sasa mtoto ana miaka 2 na miez 3 bado inarudiwa upuuzi mtupu
 
Naitaji kingamuzi chenu TAFADHALI NAOMBA NO YA WAKALA au DUKA LENU LOLOTE LILIOKO MBEZI YA KWA MSUGURI
 
Back
Top Bottom