Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,010
- 2,604
Nimechukia sana kuniuzia combo box wakati upande wa antenna haufanyi kazi na mimi nina antenna.
Nimekiweka kwenye box.
Very angry
Nimekiweka kwenye box.
Very angry
Salio likiisha channel pekee inayobaki ni Star Guide tu!Startimes ndio king'amuzi chenye bei nafuu kuliko vyote!!!Salio likiisha unaangalia itv,startv,tbc1,tv1 chana Leli 10,eatv
...Salio likiisha channel pekee inayobaki ni Star Guide tu!
...Nimechukia sana kuniuzia combo box wakati upande wa antenna haufanyi kazi na mimi nina antenna.
Nimekiweka kwenye box.
Very angry
mm king'amuzi changu kilikua kinaonesha vizur tuu mpaka majuz hapa lakin now naona tbc na star guide lakin local zingine zote nikiweka mfano eatv inaandika "cardproblem" .Habari zenu wanaJamiiForums
Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?
Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.
1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!
STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.
kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800
Ahsanteni sana na karibuni nyote.
...mm king'amuzi changu kilikua kinaonesha vizur tuu mpaka majuz hapa lakin now naona tbc na star guide lakin local zingine zote nikiweka mfano eatv inaandika "cardproblem" .
...Startimes tatizo la king'amuzi changu hakioneshi list ya channels kila nikijaribu kusearch automatically. Muda mrefu nilikuwa sikitumii na nilipotaka kutumia ndio nikakutana na tatizo hilo. Naishi Wilaya ya Kinondoni Kata ya Wazo Mtaa wa Kilimahewa. Namba ni 02035349729. Naomba utatuzi wa changamoto hiyo.
Asante...
fika nacho bamanga tbc tv makao makuu wa tatatua.
...