Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Nimechukia sana kuniuzia combo box wakati upande wa antenna haufanyi kazi na mimi nina antenna.
Nimekiweka kwenye box.
Very angry
 
Nimechukia sana kuniuzia combo box wakati upande wa antenna haufanyi kazi na mimi nina antenna.
Nimekiweka kwenye box.
Very angry
...
hako ka chombo kana nembo ya tbs?
ulisoma mkataba wa manunuzi?
Wapeleke tacra central ili uwe mwokozi wawengi kwa gharama zako.....
...
 
STAR TIME NAOMB kufahamu frequency za ST Swahili, St kids, st music na Clouds. natumia TV yenye kingamuzi ndani (ya sola)
 
Siku ya tatu leo channel zote zimekata kwenye king"amuzi cha startimes ,sio kwangu tu hadi kwa jamaa zangu hata sielewi.
 
Kila inapofika SAA mbili usiku lazima network zipotee ktk kig'amuzi chenu kwanini
Nipo Mwanza nyamagana Igoma
Card no.02035518375 asante
 
Rudisheni Tabibu, munashindwa kweli Ku renew mkataba na tabibu kweli? Mutafukuza wateja wengi tuu
 
Habari zenu wanaJamiiForums

Je una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
mm king'amuzi changu kilikua kinaonesha vizur tuu mpaka majuz hapa lakin now naona tbc na star guide lakin local zingine zote nikiweka mfano eatv inaandika "cardproblem" .
 
Asanteni sana kwa kua karibu na wateja wenu sasa mim tatizo langu ni chanel za nyumbani sizioni ni wiki sasa zipo chanel mbili Eatv na startv tu namba yangu 02035479095
 
Startimes tatizo la king'amuzi changu hakioneshi list ya channels kila nikijaribu kusearch automatically.

Muda mrefu nilikuwa sikitumii na nilipotaka kutumia ndio nikakutana na tatizo hilo. Naishi Wilaya ya Kinondoni Kata ya Wazo Mtaa wa Kilimahewa. Namba ni 02035349729.

Naomba utatuzi wa changamoto hiyo.
 
mm king'amuzi changu kilikua kinaonesha vizur tuu mpaka majuz hapa lakin now naona tbc na star guide lakin local zingine zote nikiweka mfano eatv inaandika "cardproblem" .
...
Startimes hawarushi free to air kwa local channel kama wanavyodai tacra. Wanayarusha kama free to View. Hivyo hakikisha una kadi na kisimbusi chake. Hakiki na wakala wa startimes aliye karibu, siyo wauzaji baki.
...
 
Startimes tatizo la king'amuzi changu hakioneshi list ya channels kila nikijaribu kusearch automatically. Muda mrefu nilikuwa sikitumii na nilipotaka kutumia ndio nikakutana na tatizo hilo. Naishi Wilaya ya Kinondoni Kata ya Wazo Mtaa wa Kilimahewa. Namba ni 02035349729. Naomba utatuzi wa changamoto hiyo.
...
fika nacho bamanga tbc tv makao makuu wa tatatua.
...
 
Back
Top Bottom