David Tito
Member
- Sep 6, 2018
- 7
- 6
Startime mnaboa sana hasa kwetu wateja wenu tunaotumia dish maana kila siku bei zenu zinapanda nashangaa kuona kifurushi cha smart kwa sasa 21000/= wakati loca chanel mumeshindwa kufungu hata tbc imewashinda kuruhusu ionekane bure ,kazi yenu kututumia sms eti lipia uweze kuona mechi na mibei yenu ya ajabu wakati huduma zenu mbovu.
Hakiamungu kuanzia leo nawahama mnazidiwa na Azam slyifungiwa kutoonesha local chanel ila bado tbc kwake ni bure namba ya card ni 01837512001 naombeni muifute au itengezeni upya mumuuzie mwingine maana mimi nimechoshwa na wizi wenu kwetu sisi watu wa hali ya chini.