StarTimes Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 260
- 140
- Thread starter
- #661
Naomba kujua idadi ya vifurushi vyenu na gharama zake.
habari yako, gharama zetu zinategemea aina ya kisimbusi ulichonacho, gharama ni kama ifuatavyo
Naomba kujua idadi ya vifurushi vyenu na gharama zake.
Nashukuru, fundi amefika nyumbani na kuona decoder yangu alichosema dicoder ime collapse ninatakiwa kufika ofisini ili nifanyiwe backup kwenye kingamuzi kingine kwa gharama ya 32000.tumepata, hivi punde utapigiwa simu na watoa huduma wetu, ahsante kwa kuchagua startimes
Yan najuta kuingia mkenge nikanunua ichi kishumbusi tangu jana nimelipia lakini bado akioneshi television yoyote ata zile radio zao za wapi uko aziongei yani ni msalaba mtupu kila mda ni kuscrach tuu yani ni matatizo matupu
Mwenye namba zao za huduma kwa wateja naomba anisaidie tafadhali ili niwapigie wakinizingua narudi dukani kuchukua azam
Sent using Jamii Forums mobile app
tumepata, hivi punde utapigiwa simu na watoa huduma wetu, ahsante kwa kuchagua startimes
Nashukuru, fundi amefika nyumbani na kuona decoder yangu alichosema dicoder ime collapse ninatakiwa kufika ofisini ili nifanyiwe backup kwenye kingamuzi kingine kwa gharama ya 32000.
Je zile channel local nilizokuwa nikiona nitaendelea kuona au nitakuwa nalipia?
Hivi startimes Tanzania hamna huduma ya malipo ya baada yani iwe kama umeme unaweka units na unatumia kutokana na matumizi yako.
Wekeni huduma ya units kwenye huduma zenu na ninawaambia ukweli mtapata sanaa wateja.
Shukran kwa taarifandio utaendelea kupata chanel zako kama kawaida! tunashukuru kwa mrejesho
mi ndo nimechoka na nyie jamani. unakaribia mwaka sasa nalipia ila channel hazifunguliwi hata! hivi nimeacha kulipia kimekaa tu kama pambo. najaribu kutafuta ofisi zenu hapa mbeya sizioni.
Nimenunua kifurushi cha mwezi tarehe 14/09/2017 kimeisha 25/09/2017 kabla mwezi haujaisha inakuaje iyo
Namba 020 3577 2752
HIV kwa nini ulipiaji WA vingamz vyenu cku hz unasumbua sana? Nina miez miwil mfululizo, nalipia ila Chanel hazshiki mpk kesho yake mfano Jana nimelipia sa 12:30 jion nikiwa na lengo LA kuwah kipind cha siri za familia lakin matokeo yake mpk sa a mbil naambiwa recharge wakat nimeshapat ujumbe WA uthibitisho kuwa nimelipia
Sasa tatizo nini? Jitahdn kurekebisha hili
Jee kwa nn kama sijalipia siwezi kuona local channel kama clouds itv eatv na kama nipe sababu zenye mashiko laasivo nakitupa kisumbuzi chenu
Jitahidini aisee kumbe ni tangu juzi akioneshi ndo naambiwa apa na wanangu.habari yako,pole kwa usumbufu tunalifanyia kazi tatizo lako
habari yako, chanel hii ni local na huwa zinapatikana bure, isipokuwa pale tu kama ulinunua kile chenye bei maalum ambacho pia unaweza kubadilisha kadi na ukapata chanel zote za nyumbani bure