Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Twamo

JF-Expert Member
May 27, 2017
2,669
2,000
Nimelipia kifurushi cha Uhuru lakini baadhi ya Chanel hazifunguji; kikiisha hiki kifurushi ndio mwisho wa kutumia kifurushi chenu!
 

mwekwa ntandu

JF-Expert Member
Aug 24, 2019
751
1,000
Mie king'amuzi changu kinaonesha tbc1 tu,mwanzo haikuwa hivyo nilikuwa naangalia local channels bila shida naomba mnirejeshee local channels namba ya king'amuzi ni 02035892652
 

Masseto

JF-Expert Member
May 14, 2020
847
1,000
Mjitajidi kukimbizana na technologia,, nimenunua king'amuzi cha startimes antenna hakina HDMI ni only AV, hakuna USB PORT, this is still analog
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom