Startimes Tanzania na Vodacom vip mnatufanyia hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Startimes Tanzania na Vodacom vip mnatufanyia hivi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkayala, Mar 14, 2012.

 1. mkayala

  mkayala JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Katika matangazo yenu mmetoa namba 0764 700800 ili tupige kwa matatizo mbali mbali.CHA AJABU kila nikipiga nakutana na saut iliyorekodiwa kuwa nisubir ntaunganishwa,inakwena had dakika 2 kisha inakatika na sjaongea na mhudumu lakin hela inakatwa,acheni hizo!
   
 2. Skp2ole

  Skp2ole Senior Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Karibu mitandao yote kwa sasa ni matapeli kwani hata mm Airtel wananikata sh. 30 bila maelezo kuwa ni ya nn
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pole sana wanajua wote mnauwezo ndo maana mnamiliki hivyo ving'amuzi..
   
 4. mgoligota

  mgoligota New Member

  #4
  Jun 27, 2016
  Joined: May 20, 2016
  Messages: 3
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Hahahahaaaa hii ndo Tanzaniaaaa
   
Loading...