kilochindikipoporu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 244
- 208
Hii kampuni ya startime inakotaka kutupeleka watanzania sikuzuri kabisa, tena hii kampuni ime kaa kiwizi wizi kunahaja wahusika kuichunguza sana, king"amuzi changu huwa kinaonyesha chaneli za nyumbani bure jana chanel zikagoma kuonyesha.
Nikawapigia huduma kwa wateja muhudumu akaniambia niweke T B C baada ya dakika 15 chanel zitafunguka, tangia jana mpaka sasa nime weka Tbc na chanel bado hazija funguka,
Najiuliza hapa nimimi pekeyangu au tupo wengi tunao fanyiwa huu ujinga? haiingii akilini mtu unalipia shs 450000 kwaajilitu loco chanel zionyeshe bure alafu nyie mnazikata ivi mnatuona sisi wa Tanzania ni mambumbu sanae.
Sent using Jamii Forums mobile app