Startimes kifurushi kikiisha msiniwekee bango lenu

fyabho

Member
Jul 6, 2017
71
69
Nina utaratibu was kulipa kifurushi kila ninapotaka kutazama tukio fulani kupitia dekoda ya startimes,

Leo kifurushi kimeisha tangu asubuhi Hadi chaneli ambazo so za kulipia nawekewa hili dudu Hadi picha ya tv siioni vzr, kwani lazima kulipia.

Niko huru, sitaki hili tangazo lenu katika screen yangu.
 
IMG_20210315_194957.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom