Stars set off for Kilimanjaro: Balozi Maajar, opportunity hii umeipoteza!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stars set off for Kilimanjaro: Balozi Maajar, opportunity hii umeipoteza!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by CottonEyeJoe, Feb 28, 2009.

 1. C

  CottonEyeJoe JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2009
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  A host of showbusiness names including Cheryl Cole, bandmate Kimberley Walsh and Take That's Gary Barlow have set off in a bid to climb Mount Kilimanjaro.

  It's all to raise cash for this year's Red Nose Day campaign and more than £460,000 has been donated already.

  The stars flew out from Heathrow on a Kenya Airways plane with its nose painted red for the occasion.

  Boyzone frontman Ronan Keating nearly missed the outbound flight from Heathrow after his connection from Dublin was delayed by an hour-and-a-half.

  The star had to be driven across the Heathrow Tarmac in order to catch the waiting flight.

  A Comic Relief spokeswoman explained: "Ronan nearly didn't make it, it was touch and go.

  "His flight from Dublin was delayed and once he did arrive at Heathrow he had to be driven over to the plane, luckily he was just in time."

  Barlow said: "We've been planning to climb Mount Kilimanjaro for so long, it's only now that we're boarding the plane that it's really dawned on me just how tough this could be!"

  Mount Kilimanjaro stands at 19,340ft above sea level, is the tallest mountain in Africa and the highest free-standing mountain in the world.

  source: Stars set off for Kilimanjaro climb - Yahoo! News UK

  Bongo media mpoo....au mnangojea kenyan media to capitalize on this as well...
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Si media peke yake, hata serikali. Kwa nini washukie Kenya kama wanakuja kupanda Kilimanjaro!!!
   
 3. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Hapa tumepigwa bao la kisigino na watani wetu jadi kwa mara nyingine tena, watashukia Kenya na kuupandia mlima upande wa Kenya, sasa hapa uwaambie hao masupastaa kwamba Mlima Kilimanjaro upo Tanzania si utakuwa unatafuta kuchekwa tu! And poor Tanzanians, we didnt even know about this untill the very last minute........serekali imelala, media nayo imelala, sijui tutaamka lini.
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  Mpaka sasa hivi wakuu hii habari inapewa uzito mkubwa sana na media and it is being referenced kila mahali hadi kwenye mpira.

  Kiufupi ni nafasi pekee tulikuwa nayo ya kujitangaza kupitia hawa ma celebs, lakini sina hakika kama kuna chombo chochote cha habari kimejitahidi walau kutoa habari zao?
  I mean katika hali ya economic recession na tunalalamika hakuna watalii, surely hii ingewasaidia kubadili mawazo ya watalii wachache wakaja kutembea kwetu na sio sehemu nyingine, manake utalii umeathirika sana na hii recession.

  Kinachoonekana ni kuwa wamekuja na kenya airways hadi nairobi...then ndo wakaja Tanzania na nadhani wametumia Machame route, hadi sasa Uk wapo updated na kila kinachoendela mlimani.

  the good thing ni kuwa wana reference kuwa mlima upo Tanzania lakini kinachotamba zaidi ni Kilimanjaro, na sio Tanzania as a country.


  angalia kwa mfano hapa na pia hapa vile vile

  [​IMG]

  Picha kwa hisani ya the Daily Mail.
   
  Last edited: Mar 7, 2009
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  lol aibu si kiseng........media za bongo ziko dom zina cover mkutano wa ccm
   
 6. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280

  hivi ndo maana huwa eventually wanaingia kwenye siasa?
   
 7. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2009
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  We are too laid back, from the president to the man on the street... Tungepata dictator akatuchangamsha kidogo!!
   
 8. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  We are fast asleep, tunategemea kila jambo lifanywe na serikali wakati nchi zilizoendelea wananchi wake wanapiga kelele kuzuia mambo ya biashara yasifanywe na serikali.
   
 9. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nadhani kwa waandishi wa kwetu tusiwalaumu sana manake ni nani angewadhamini kupanda na hao ma Cel ?? Na jambo jingine kwa muda mrefu waandishi wetu wamekuwa wagumu wa kutafuta habari mpya zaidi ya zile ambazo zimezoeleka kama habari za mafisadi nk. Vile vile wanapenda zaidi kuandika habari ambazo wanapomaliza kuandika kuna bahasha wanapatiwa na watoa habari/hoja mfano katika makongamano na mikutano mbalimbali na matamasha.
  Inabidi waandishi wetu wabadilike sasa katika kutafuta habari
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ndio maana mie nikiwaambia bora nisome zeutamu mnaniona bwege......
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...huwezi jua bana, labda wengine si washabiki wa nyimbo za Celebs hawa, wala hawana ufahamu REDNOSE Day charity inawasaidiaje waafrika...

  Gary Barlow ( wa pili kulia) yumo kwenye kundi hili (minus Robbie William);
  TAKE THAT.jpg
  take that... "I found Heaven", "A million love song", "Could it be magic"

  Kimberly Walsh (wa kwanza kushoto), na Cheryl Cole ( wa pili kushoto, Mke wa Ashley Cole wa Chelsea) wamo kwenye;
  girls-aloud.jpg
  Girls Aloud...

  Ronan Keating (mbele) yumo kwenye kundi hili;
  boyzone.jpg
  Boyzone ... "No matter what", "When you say nothing at all"
  ...

   
 12. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Tz bado hatuinvest ktk kujitangaza!

  Tunadhani watakuja tu wenyewe watalii!!

  We have a long way to go!
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Mar 7, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...bana wweeeeh, we acha tu! imagine Challenge yenyewe hawa ma Celeb wanafanya ku raise funds kwa misaada yetu wenyewe miafrika, mnh...

  ...halafu uchungu unazidi pale unapoona "jirani" ndio anayechukua ujiko kwa hilo...;

  ...Cheki hapa Crews wao (KQ) wanavyojimwaya-mwaya na hao ma Celebs, Gary Barlow na Cheryl Cole, ilhali mlima wenyewe upo Tanzania...

  85146645.jpg
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sijawaelewa wakuu, concern yenu ni nin?

  Kuhusu media coverage, sijajua mnazungumzia media gani, hii ya bongo au nyengine? Yaani ninyi watu wanapanga trip kwao huko UK, mlitaka wai-kave vipi hiyo tripkabla hawajakanyaga bongo?

  Kuna wengine wanaoilaumu serikali, sasa sielewi wanailaumu nini? Kama hao mastaa wameweza kufika TZ na kuukwea mlima Kilimanjaro, inamaanisha mambo yameenda sawa bin sawia. Sijui mlitakaje au mlitaka ni kingine cha ziada.

  Labda mnifafanulie wakuu.
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mtindiowauobongo, mimi binafsi na wengi wetu hapa concern yetu hapa ni media coverage ya hapa nyumbani..sio UK, na hoja hapo ni kuwa tungeweza kabisa kujitangaza zaidi kiutalii kama tungelivalia njuga suala huli kama wenzetu wa UK na hata hao KQ walivofanya,, tungeweza hata kuinfluence waje kwa ndege kama KLM na sio KQ wakatua moja kwa moja KIA pale, ingemake more sense

  Sasa kuna mtu kasema waandishi 'hawakudhaminiwa' kupanda nao mlima na kuwa wamezoea habari za'bahasha'...sasa hilo ni suala zito, ina maana habari zinaandikwa kutegemea na uzito wa bahasha?

  tuna safari ndefu lakini mi naona tumepoteza nafasi nzuri ya kujitangaza zaidi
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...tch-tch-tch! sisi watanzania ni wagumu kidogo kutafuta feedback, kutafakari, na kutafuta ufumbuzi, huh? Mtindio, pls read this article my brother;

  ...mfano; hao Celebs kuupanda Kilimanjaro ni publicity ya kutosha, lakini kwa picha kwamba "ili uupande mlima Kilimanjaro, pitia Nairobi!"...
   
 17. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Air Tanzania ingekuwa inakwenda Heathrow, ikarudi Dar kupitia KIA ingekuwa rahisi zaidi. Lakini kwa kuwa shirika limejaa siasa, matokeo yake ndio hayo!
   
 18. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  tatizo vyombo vya habari viko huru lakini waandishi hawako huruuu... wanaandika habari kwa influnce ya waajiri waoooo..

  kwa sasa wako kwenye ufisadi mpaka 2015....labdaaaa.
  wakati tuna habari nzito kama uwepo wa njaaa, kujitoa kwa barrick katika mradi wa umeme huko mtwara, kudoda kwa soko la pamba na kuumia kwa mabenki(crdb) waliokopesha sekta ya pamba...HIZO NI ZA KUPITAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

  UFISADI NA UJINGA WA WANASIASA KUTAKA UMAARUFUU VIMETAWALA NEWS KILA KUKICHA
   
 19. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2009
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280
  Mimi kwa upande wangu sishangai sana ila kinachonifanya nistuke ni kwamba mwaka jana jijini London si kulikuwa na kampeni ya kuitangaza Tanzania kupitia mabango kwenye mabasi?

  Sasa hayo matangazo mbona siku hizi hayaonekani manake yangesaidia hata kuwaambsha watu wa huku majuu kuhusu wapi ulipo mlima wetu wa Kilimanjaro.
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mkuu,

  Ishu ya media ya TZ, ni media gani unayoizungumzia, binafsi au akina TBC? Sidhani kama kwenye ishu kama hii ya matembezi ya kuchangia kitu fulani, ambayo ni ya kimataifa, kama local media vina-impact sana. Maana havina nguvu ya ku-cover hadi nje ya mipaka yetu na mvuto vilevile havina. Tunavilaumu bure tu. Labda wenzangu mnaliona tofauti.

  Kuhusu usafiri na mpango mzima wa safari, hapa sielewi ni mechanism gani utakayoitumia kumpangia mtu apande KLM (obviously, the most expensive Airliner operating around TZ) na kuacha Kenya Airways, ilhali yeye ndiye anayejilipia.
   
Loading...