Stars Maandalizi ya zima moto Tutaishia kunawa

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Tumewaona Stars ikiishia njiani katika mbio za kinyang'anyiro hicho cha kombe la dunia... serikali na TFF iliamua kuunda kamati ya ushindi baada ya kuiona stars ikiwa katika hali nzuri... watanzania wanaishangaa kamati ya ushindi ina kazi gani inayoifanya mbali ya kuboresha motisha kwa wachezaji lakini kamati hiyo ilipaswa kuundwa mapema zaidi kuliko kusubiri kukumbuka shuka kukiwa kumepambazuka ......kamati ya ushindi ipo ipo sana tu......lakini kama ingekuwa makini waamuzi wasingekuwa wanatoa penati zenye utata katika uwanja wetu wa nyumbani



 
Back
Top Bottom