'Starring' wa Movie ya Gwajima ndo huyohuyo 'Siteringi' wa muvi ya Nape na Kinana.

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Umeshawahi kujiuliza kuhusu yule jamaa aliyekuwa na uwezo wa kumuigiza MWALIMU NYERERE?

Umeshawahi kujiuliza kuhusu yule jamaa aliemuigiza Magufuli- BARAKA MAGUFULI?

Ulishawahi kujiuliza kuhusu 'J K Comedian' Alipoiga Sauti Za Rais Magufuli Na Kikwete Mbele Ya Makamu Wa Rais Mama Samia?

Hao wote wangeamua kumchafua mhusika, tungesema kuwa ni mhusika mwenyewe kahusika?

Kama wanatengeneza 'fake video' watashindwa 'fake sound/voice'???

Raia "Wengi" hawampendi Raisi magufuli na yeye mwenyewe analitambua hilo, kwa hiyo lolote laweza kutokea.

Nape na Kinana wako "smart sana" hawawezi "kuji-expose" kwa kiasi hicho hata kama hawamuungi mkono raisi.

Nyelele (siyo Nyerere) wa Chattle kafumbua macho, laana yake itawateketeza.
66656166_249242149365108_6784449878291382272_n.jpg
 
Rais Magufuli anapendwa sana tena sana , si wafanyakazi, wakulima , wajasiriamali, wafanyabiashara, raia wa kawaida, machinga ,watu wa vijijini na mijini, matajiri kwa masikini wote wanaamini katika utendaji wa Magufuli na wanampenda sana. watu wachache wanaokosoa kupinga si kipimo cha kusema wengi hawampendi na kupingwa kwa kiongozi mkubwa sana wa chama , serikali na nchi ni ishara tosha kuwa misingi ya demokrasia ikiwemo kukosoana ipo na inazingatiwa.

usiwahi kuhukumu jambo usilokuwa na hakika nalo daima. hakuna ajuaye ukweli wa sauti hiyo wala video ya Gwajima , yote ni mambo ambayo hayana uhakika na uhakika utapatikana uchunguzi ukifanywa.
 
Umeshawahi kujiuliza kuhusu yule jamaa aliyekuwa na uwezo wa kumuigiza MWALIMU NYERERE?

Umeshawahi kujiuliza kuhusu yule jamaa aliemuigiza Magufuli- BARAKA MAGUFULI?

Ulishawahi kujiuliza kuhusu 'J K Comedian' Alipoiga Sauti Za Rais Magufuli Na Kikwete Mbele Ya Makamu Wa Rais Mama Samia?

Raia "Wengi" hawampendi Raisi magufuli na yeye mwenyewe analitambua hilo, kwa hiyo lolote laweza kutokea.

Nape na Kinana wako "smart sana" hawawezi "kuji-expose" kwa kiasi hicho hata kama hawamuungi mkono raisi.

Nyelele (siyo Nyerere) wa Chattle kafumbua macho, laana yake itawateketeza.
View attachment 1155693
Wala hauhitajiki umakini mkubwa kugundua kuwa yale MAZUNGUMZO ya wale Makomredi ni MAIGIZO tu. Tena kwa Nape ndio walikuwa mbali sana na sauti yake.
Hivi, huu UCHONGANISHI, utatupa faida gani? Mbona mambo HALISI yapo mengi tu, kiasi kwamba kama una kisa na mtu, basi twaweza kutumia!?
 
Mpaka muda huu wamekaa kimya tena Kwa tuhuma nzito za kumkejeli na kumdharau mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama bila kanusho lolote. Kukaa kwao kimya utatuaminisha kweli ni sauti zao.
 
Rais Magufuli anapendwa sana tena sana , si wafanyakazi, wakulima , wajasiriamali, wafanyabiashara, raia wa kawaida, machinga ,watu wa vijijini na mijini, matajiri kwa masikini wote wanaamini katika utendaji wa Magufuli na wanampenda sana. watu wachache wanaokosoa kupinga si kipimo cha kusema wengi hawampendi na kupingwa kwa kiongozi mkubwa sana wa chama , serikali na nchi ni ishara tosha kuwa misingi ya demokrasia ikiwemo kukosoana ipo na inazingatiwa.

usiwahi kuhukumu jambo usilokuwa na hakika nalo daima. hakuna ajuaye ukweli wa sauti hiyo wala video ya Gwajima , yote ni mambo ambayo hayana uhakika na uhakika utapatikana uchunguzi ukifanywa.
Na wewe mawazo ya familia yako kumpenda usifanye ni yetu sote
 
Acha unafiki we kibwengu
 
Uchunguzi ukifanywa, swali. ukifanywa na nani? Wafanyakazi wanampendea nini, wakulima wanampendea nini, wavuvi wanampendea nini, wamachinga wanampendea nini? Labda wewe ni askari....
 
Rais Magufuli anapendwa sana tena sana , si wafanyakazi, wakulima , wajasiriamali, wafanyabiashara, raia wa kawaida, machinga ,watu wa vijijini na mijini, matajiri kwa masikini wote wanaamini katika utendaji wa Magufuli na wanampenda sana. watu wachache wanaokosoa kupinga si kipimo cha kusema wengi hawampendi na kupingwa kwa kiongozi mkubwa sana wa chama , serikali na nchi ni ishara tosha kuwa misingi ya demokrasia ikiwemo kukosoana ipo na inazingatiwa.

usiwahi kuhukumu jambo usilokuwa na hakika nalo daima. hakuna ajuaye ukweli wa sauti hiyo wala video ya Gwajima , yote ni mambo ambayo hayana uhakika na uhakika utapatikana uchunguzi ukifanywa.

Aisee mimi na family yangu na ukoo wangu wala hatumpendi! Marafiki zangu hawampendi washirika wangu wote hawampendi nasi pia ni wa tz! Sina mtu ktk mzunguko wangu anayempenda! Wawe wa ccm au cdm au cuf wala act hakuna anayempenda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom