Star tv wanarusha kipindi kuwahadaa wananchi juu ya kugoma kwa gamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star tv wanarusha kipindi kuwahadaa wananchi juu ya kugoma kwa gamba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyenyere, Nov 27, 2011.

 1. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Kipindi kimejaa makada wa CCM tu. Wanajaribu ku-justify dhana nzima ya kushindwa kujivua gamba. Ni aibu kuu kwa Yahya na star tv
   
 2. N

  Ndole JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi sijakiangalia. Lakini ninachojua ni kwamba kipindi kikiendeshwa na Yahya m basi siku hiyo kipindi ni kibovu usipime. Huyu jamaa hajui maana ya mijadala huru hata kidogo. Anataka kusikia alichokipanga mwenyewe kichwani mwake.
   
Loading...