star TV vipi kuhusu uzinduzi wa kampeni Arumeru

Nimekua nikimbinga ruzuku kwa vyama siasa, Naona mbowe nae anapita kwenye line hiyohiyo, vyama vinatakiwa vijiuze kwa raia, kama raia tunapendezwa na sera zao tutawachangia, hii itafanya vile vyama vinavyojihusishwa tu na raia ndio vinakua maarufu
 
nasari anaongea kuhusu yeye kutokua na mke, akatoa mifano ya zito na mnyika ambao bado hawajaoa pia, facial expression ya zitto inaonyesha hajapenda sana hicho kipengele
 
kama tulivokua tunaiita utotoni 'hedi-copta' inapiga show ya mwisho kuwaanga raia
 
Back
Top Bottom