Star Tv tuongee magazeti leo, hakuna anayejenga hoja

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,295
73,838
Team nzima ni wambea watupu, hakuna anayejenga hoja ila ni umbea, wivu na kupongeza wakuu kuona kama watakumbukwa.

Wengine wanajiita Wajamaa! Makada wa CCM. Shame upon them! Mtu mzima anasema kuwa utawala wa sheria na haki za binadamu ndivyo vinadumaza maendeleo, linajikomba kwa vile kuna wakubwa hawafuati sheria, wanavunja haki za binadamu.
 
Staa TV haikwepeki asa DW inakupa habari za Dunia kwa dk 5 wakati TV za bongo ni zaidi ya dk 30
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom