Star TV Tuongee Asubuhi Sunday 06 June 2011: Mivutano ya wanasiasa ina tija kwa Watanzania?

mkuu ... be careful and you need to be neutral na kibiashara zaidi ..... usije ukatengeneza automatic segregation ya TV business yenu .....

at your level and for your future tv programs...... stay out of mabishano humu JF

GREAT THOUGHTS, I like it.
 
Hatukuweza kuipost mada hii kutokana na kuwepo mijadala kama hiyo ikiendelea katika thread nyingi kama zilivyokuwa zimeanzisha na washiriki akina GHOST RYDER na wengine kwa hiyo tumejielekeza huko na kupata base ya mjadala huu ambao pia unazungumzwa katika maeneo mengi nchini kwa sasa ambapo Umma umekuwa ukipata nafasi ya kujadili masuala ya kisiasa.

Michango ya mpaka saa 1 na dk 20 nado ina nafasi ya kutupa nyongeza katika mjadala wa leo Tuongee Asubuhi unaoanza saa 1 na dk 30 asubuhi hii.

Michango mingine kupitia mobile 0717 000 013 itawezesha nyingeza hiyo katika mjadala LIVE

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom