Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
Huyu bwana wa kutoka KKKT anaingia kwenye mjadala kwa sababu zipi,hapa kuna mtego mkubwa sana mkuu.Fafanua Mkuu
Wote tunajua outcomes zake kama akiunga mkono hoja hiyo au akiipinga.
Bora apinge lakini ikitokea aunge mkono yatasemwa mengi sana..kwa nini basi hukumkaribisha mtu mwingine mwenye uhusiano wa juu kabisa na avator yako ya mwezi na nyota.
Sheikh tunajua uko upande gani tangu kipindi cha uchaguzi,uchaguzi umeisha sasa tujikite kwenye mijadala yenye mlengo wa kuamsha maendeleo kwa nchi yetu yenye watu wa dini mbalimbali na wasionazo.
Natumai sijakukwaza mkuu.
Respect!