Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Hakuna kitu kinachopendeza kama kuwa na ubunifu. StarTV imebuni kitu kinachoitwa Maisha Tips, ni 'slide show' ambayo kama ni maneno machache muda walioupanga unatosha lakini kama ni maneno mengi kwa kweli hatuambilii kitu. Naomba muongeze muda ili lengo lenu liwe na tija.