Star TV na Radio Free mna matatizo gani?

Kilosaone

JF-Expert Member
May 3, 2015
407
216
Habari bandugu
Mimi nina malalamiko na hizo media hasa leo hazipo hewani na sioni any apologies, kwanini? Au mzee Diallo nae ameanza kuisoma namba?

Wahusika naomba majibu.
 
Habari bandugu
Mimi nina malalamiko na hizo media hasa leo hazipo hewani na sioni any apologies, kwanini? Au mzee Diallo nae ameanza kuisoma namba?

Wahusika naomba majibu.
Tangu mvua zianze kama unatumia Startime basi hesabu kutiwapata hadi mvua ikate. Hata mimi siwapati siku ya nne sasa
 
Mimi sio leo tu, nina siku kama nne hivi. Kiungwana wangetupa taarifa wateja wao.
Habari bandugu
Mimi nina malalamiko na hizo media hasa leo hazipo hewani na sioni any apologies, kwanini? Au mzee Diallo nae ameanza kuisoma namba?

Wahusika naomba majibu.
 
Quality ya Picha yao Star TV ingekuwa shuleni tungesema Bata kapita... why? why? Hamieni kwenye HD aaah yaani nilishaacha kuitizama niliona inaniumiza Macho yangu... muonekano wa kimatakataka
 
Pengine kanyimwa Leseni maana sikuhizi kurenew leseni hadi uoneshe cheti cha TRA cha clearance Taxi Aibu kubwa kwa wakepa kodi walikuwa wakidhania ni zao wakitafuna
 
na wakishakwambia tatizo lao waje kwangu wachukue na kingamuzi chao cha continental buree sitawadai chochote
 
Samahani kwa usumbufu uliojitokeza kwa sababu ya matatizo ya kiufundi hatutokua hewani kwa siku kumi

Ndo unategemea kupewa ujumbe huo kutoka media za tz na makampuni ya tz

Ha ha ha ha SAHAU
 
Habari bandugu
Mimi nina malalamiko na hizo media hasa leo hazipo hewani na sioni any apologies, kwanini? Au mzee Diallo nae ameanza kuisoma namba?

Wahusika naomba majibu.
Mimi natumia dishi la ZUKU, sina tatizo na STAR TV naipata vizuri tu. Kuhusu Radio Free sifahamu kwa kuwa huwa sisikilizi radio.
 
Back
Top Bottom