Jana usiku star tv walifanya mahojiano na msanii wa filamu za kibongo jaqline pentel. Angalia kivazi kinakera na wahusika hawakustahili kumhurusu kuja studio na aina hii ya kivazi.
mkuu hapa naona unaingilia haki ya msingi kabisa ya wadogo zetu wa kiume ambao baada ya kuangalia mambo kama haya kwa muda hukimbilia chooni kwenda kuzipunguza hahaha!
Aliyeandaa kipindi hicho hakutakiwa kumruhusu kwa mavazi hayo maana haileti muonekano mzuri kwa watizamaji wakiwemo watoto wanaoibukia. mtangazaji mwenyewe namwona kama Sauda vile,kama ndie sishangai maana nae ndo wale wale!
Wasanii wetu wamekosa maadili kabisa, siwezi kuwalaumu sana star TV kwani kama ulishaandaa kipindi hasa cha live ni vigumu kumzuia mgeni dakika za mwisho my be kama wangeshirikishwa kwenye uchaguzi wa hilo vazi, ila kiukweli wasanii wetu wanapaswa kubadilika.
Njaa inawasumbua+ ulimbukeni wa kuangalia tamthilia.
Bahati mbaya wanakuwa wametumika sana ila kwa asiewafahamu lazma adate!
Ila sie tulobobea wala ha2on kipya ndan ya sket zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.