Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,582
Wanabodi
tuko Live

Karibuni
Paskali
Rejea za Mandiko ya The Same Author Kuhusu Janga la Corona
  1. Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani? - JamiiForums
  2. Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa - JamiiForums
  3. Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums
  4. RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe - JamiiForums
  5. Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums
  6. Star TV: Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, azungumzia wajibu wa vyombo vya habari kuripoti janga la Corona - JamiiForums
  7. Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani!. Je Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika - JamiiForums
  8. Vita Janga la Corona: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas, Naibu Waziri wa Afya, Dr. Faustine Ndungulile, kesho watakuwa live JLNH-Star TV - JamiiForums
  9. Star TV: Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas na Naibu Wazuri wa Afya Dr. Faustine Ndungulile, Wanazungumzia Corona - JamiiForums
  10. Mungu ni Omnipresent. Kufuatia Local Transmission ya Corona. Je, Sasa Tushinikize Watu Wasalie Majumbani Mwao, ila Sadaka Ndio Itumwe Kwa M-Pesa? - JamiiForums
  11. Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!. - JamiiForums
  12. Kwa Kasi Sasa, Jee Tuendelee Ushujaa wa Ka-Corona, Tusitishane, Tuchape Kazi Tukiteketea, Au Sasa Tubadili Msimamo Tusitisishe Mikusanyiko Tuokoke? - JamiiForums
  13. TBC - Mjadala wa Role of The Media kwenye mapambano ya Corona, Je, Media Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo? - JamiiForums
  14. Live on Star TV: Corona Kushika Kasi Ndio Habari Kubwa Tanzania, Jee Media ya Tanzania, Inatimiza Wajibu Wake Ipasavyo? - JamiiForums
  15. Corona: Tusinyoosheane vidole. Kama unaweza kusaidia, please do. Usisubiri uombwe - jitokeze saidia, vinginevyo nyamaza! - JamiiForums
 
Tunaomba muulize Dr.Abasi, vipi swala LA serikali kufunga mipaka has a kipindi hiki cha corona? VIP swala LA kufungua shule Na vyuo? Pia je serikali haioni kuna umuhimu Wa kutenga bajeti mahususi kila secta katika kupambana Na corona kwa mfano wizara ya elimu pindi shule zikifungua?
 
Mlenge unataka kusema nini? Unataka kusema mfumo wa maisha ya Watu wa Korea Kusini na mfumo wao wa Afya unafanana na wetu?

India imeelezwa kinagaubaga ni kwa nini "Lock down" haitasaidia na haitasadia si kwa sababu si mbinu sahihi bali kwa kuwa ya umaskini wa watu wa India.
 
Naomba kumuuliza ndugu Faustine,kwa sasa tunaambukizana wenyewe kwa wenyewe kwa mujibu wa taarifa ya waziri Ummy

Je kuna uhakika gani kuwa kila mgonjwa anayepelekwa hospitalini amepimwa corona ili asije akachanganywa na wagonjwa wengine kwenye wodi

Maana unaweza kuta mgonjwa anaugua covid19 bila kujua akalazwa hospital kwenye wodi ya wagonjwa wengine,mmewekaje mazingira haya ili kuzuia maambukizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba muulize Dr.Abasi, vipi swala LA serikali kufunga mipaka has a kipindi hiki cha corona? VIP swala LA kufungua shule Na vyuo? Pia je serikali haioni kuna umuhimu Wa kutenga bajeti mahususi kila secta katika kupambana Na corona kwa mfano wizara ya elimu pindi shule zikifungua?
Serikali tangu ianze kuendeshwa na jamii ya wachunga ng'ombe maamuz yake hata hayaeleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlenge unataka kusema nini? Unataka kusema mfumo wa maisha ya Watu wa Korea na mfumo wao wa Afya unafanana na wetu?

Nataka kusema tujifunze kutoka kwa waliofanikiwa. Mbona India hapo hukuitaja? Au kwa vile stratejia ya lockdown imeonekana haina tija huko? And you cannot let minor stuff like truth interfere with your agenda?
 
Naomba kumuuliza ndugu Faustine,kwa sasa tunaambukizana wenyewe kwa wenyewe kwa mujibu wa taarifa ya waziri Ummy

Je kuna uhakika gani kuwa kila mgonjwa anayepelekwa hospitalini amepimwa corona ili asije akachanganywa na wagonjwa wengine kwenye wodi

Maana unaweza kuta mgonjwa anaugua covid19 bila kujua akalazwa hospital kwenye wodi ya wagonjwa wengine,mmewekaje mazingira haya ili kuzuia maambukizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakikujibu nitag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iwe kama Nchi nyingine wahusika mawaziri na watendaji wengine wapange muda Maalum Kila siku watoe up date na wajibu maswali ya waandishi,kama Kenya na Afrika kusini,Ghana nk.
 
Tunaomba muulize Dr.Abasi, vipi swala LA serikali kufunga mipaka has a kipindi hiki cha corona? VIP swala LA kufungua shule Na vyuo? Pia je serikali haioni kuna umuhimu Wa kutenga bajeti mahususi kila secta katika kupambana Na corona kwa mfano wizara ya elimu pindi shule zikifungua?
Bro nafikiri swali lako la kuhusu kufunga mipaka lilishajibiwa na JIWE jana akiwa kwenye ibada ya ijumaa kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini mpaka sasa serikali yetu halichukulii hili janga kwa umakini zaidi?

Sawa Rais anasema tuchape kazi hatujakataa lakini kwanini mpaka sasa makanisa,misikiti,kumbi za kamari (betting),kumbi za starehe,mabaa hayajafungwa?Mfano mtu akishalewa ataweza kunawanawa mikono,kukaa mita moja na asiguse uso?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalizo hakikisheni daladala na mabasi yote ya usafiri wawe na sanitizer sababu.Kuna abiria wanashuka na kupandia njian bila kunawa.Pia iwe lazima pia majumbani kuwe na ndoo za kunawa mikono maji ya kutiririka kama wanavyofanya madukani na mitaan kote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba muulize Dr.Abasi, vipi swala LA serikali kufunga mipaka has a kipindi hiki cha corona? VIP swala LA kufungua shule Na vyuo? Pia je serikali haioni kuna umuhimu Wa kutenga bajeti mahususi kila secta katika kupambana Na corona kwa mfano wizara ya elimu pindi shule zikifungua?
Umechelewa mkuu tusubiri kufa kama kuku sahivi labda tufunge minyau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina ajenda yoyote, Nimerekebisha bandiko langu na India nimeitaja pia. Wewe unaangalia neno "Lock down" au tendo lenyewe na mazingira husika?

Tanzania inakabiliana na ugonjwa wa COVID-19 kwa kutumia mbinu inazoziona zinafaa, baada ya kuzingatia vigezo lukuki. Kwa baadhi ya watu:

Kupambana na COVID-19 = Lockdown.

No Lockdown = Serikali inacheza na maisha ya Watanzania.

Kila watu wana mbinu zao za kupambana. Msilazimishe Lockdown kwa vile tu nchi jirani zimeweka lockdown.
 
Back
Top Bottom