Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
Nimeangalia taarifa ya habari ya saa mbili, kwenye habari za michezo.
Kwenu habari ya Redknapp na QPR mmeipa kipaumbele kuliko matokeo ya CECAFA Challenge, mkaiweka ya kwanza na maelezo mareeefu huku habari ya CECAFA mkaitangaza kwa wastani wa sekunde 5.
Tunapeleka wapi michezo yetu sasa, kama kwenu QPR wana maana kuliko michuano ambayo timu yetu ya Tanganyika inashiriki. Halafu watu wasipoangalia mechi za ndani mnakuwa wa kwanza kuwashangaa wakati wajibu wenu mwautekeleza kwa magumashi.
Tafadhali, nyie ni media house na mna jukumu kubwa katika kubadili hali ilivyo...