Star tv mmeniboa sana

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Kwa wale mtakaokuwa mnafuatilia urushaji wa matangazo ya moja kwa moja ya Tuzo Tanapa kwa waandishi wa habari kutoka Mwanza mtakubaliana na mimi toka wameanza sauti imekuwa ni kero tupu hebu jitahidini kujiandaa sio kwamba hafla hiyo imeshushwa ghafla kutoka angani hivyo hamkuwa mmejiandaa.
 
kurusha kipindi live ina changamoto zake cha msingi wapongeze japi umeweza kuona matangazo.
 
si mara moja wala mbil hlo tatzo linajitoleza hata cku mpoki akibwabwaja mwanga nao ilikuwa mtihan wajitahd
ila mi nimechukia hawakuweka tamthilia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom