star tv, mmekopy na kupest itv program ya vidokezo vya habari

yoelisahe

Member
Jul 23, 2013
72
20
star tv program ya vidokezo vya habari mmeiga itv, sema wao huita habari za saa, yaani nyie kila kitu mwawaiga itv,jaribuni kuwa creative kidogo,otherwise mjipange.
 
ni kawaida tv stations kuigana
hata media kubwa wanaigana baadhi ya vitu lengo ni kuvutia watazamani
hiyo sio copyright protected kuwa kama una habari zako usiige namna ya kuzionyesha so long hazifanani.
 
Hata ITV ya mengi(independent television) waliiga jina kutoka independent television(ITV) ya Uingereza,kawaida tu mkuu,hayo ndio maendeleo,hata sumsung galax waliiga iphone,wachina ukitoa kitu leo kesho wanaibuka nacho.
 
Tatizo kubwa la kizembe la Star Tv ni kutokuenekana kwenye madishi ya futi sita. Hili wameshindwa hata na lile li tv letu linaloogopaga kurusha matangazo live ya bunge.
 
Hata ITV ya mengi(independent television) waliiga jina kutoka independent television(ITV) ya Uingereza,kawaida tu mkuu,hayo ndio maendeleo,hata sumsung galax waliiga iphone,wachina ukitoa kitu leo kesho wanaibuka nacho.

ameiiga ya Uingereza au ndio ile ila sema kwa hapa ni mbi wao tu. hata radio One wana ubia nafikir na capital pia
 
star tv kwenye madishi wamepunguza signal hatuwapati wakati tv yenyewe haina vipindi vya kuvutia lakin wanaringa hao.
 
Back
Top Bottom