Star TV Kuna maisha baada ya uchaguzi

Naona Lumumba wenzangu hamtaki kukubali ukweli. Dialo anaweza kuwa anatuharibia zaidi ya kutusafishia njia. Magufuli ni jembe hakuna asiye jua lakini siyo kwa mbwembwe kiasi hicho?? Kampeni bado mbichi.
Tafuta namba yake ya simu umpigie na umshauri sio kuja hapa na kulia lia. Kua kiakili bwana acha utoto wa achie Bavicha mambo ya kulia lia na kujihurumia.
 
Diallo alishaapa kwamba Lowassa hawezi kuwa Rais. Ni mahasimu sana

Yes nakumbuka hii iliwahi toka kwenye gazeti fulani silikumbuki. Yaani Diallo alimsema vibaya sana Lowasa, alifikia hata kusema mradi wa maji huko mwanza na shy aliuleta yeye Diallo akiwa naibu waziri kwa Lowasa wote wakiwa wizara ya maji. Na mbaya zaidi aliongopa kwa kusema yeye Diallo aliutetea kwa nguvu huo mpango kwa baraza la mawaziri wakati kisheria naibu waziri haingii kwenye baraza la mawaziri.
 
sisiem wamemweka mmiliki wa starTV kwenye ile list ya waropoka ovyo wakiongoza na KeyNANA
 
Uhuru wa kuchagua, nawe anzisha yako uweke habari za ukawa siku nzima, unavylalamia kama umechangia hata senti kwenye media za watu, vipi khusuzile media zinazopendelea kutoa habari za ukawa pekee, akili za kitoto hizi.
 
kun*a an*e kuku, akin*a bata kahari*ha

wanaoegemea upande wa ukawa dhahiri mbona hawawawezi? achene hizo subirini siku 52 ziishe muanze kutafuta kazi za kufanya
 
Halaf kuna tangazo la CCM kila baada ya muda wanaliweka c kwenye Tv na kwenye radio zao pia
 
Nani wa kuhurumia.Muda wa kazi wewe unakunywa viroba,baadae unalalamika CCM haijakuletea maendeleo.Hawa ndio mashaabiki wa UKAWA.Poleni UKAWA.

Alaf mbona kuna magazeti dhahiri kabisa wanaegemea upande mmoja. Mbona hawasemi...
 
uwii mi kwenye king'amuzi nimefuta chanel zote, imebaki itv, channel 10, clouds na eatv. zingine zote upuuzi mtupu. na kwangu hakuna mtu anaangalia izo kitu za chama cha mazingaombwe.
 
uwii mi kwenye king'amuzi nimefuta chanel zote, imebaki itv, channel 10, clouds na eatv. zingine zote upuuzi mtupu. na kwangu hakuna mtu anaangalia izo kitu za chama cha mazingaombwe.

Mkuu hebu nielekeze na Mimi, nataka nifute Star tv tu
 
Wana JF.

Leo nikiwa kijiwe fulani napata zangu masanga kulikuwa na TV ambayo walikuwa wameweka station ya Star TV. Kwa takribani masaa kama matano niliyokaa hapo nimeona Star TV wamejitoa akili, yaani imekuwa zaidi ya TBC1. Ni full propaganda! Hii inaweza kuwa na madhara makubwa kwa upande wa biashara baada ya muda.

Nadhani ITV hata kama wanatuhumiwa kuwa ni chombo cha wapinzani lakini wako fair au wana balance. Lakini Star TV imekuwa kama CCM TV, hii ni mbaya TV fulani kueleweka moja kwa moja ni TV yenye mlengo fulani au inaegemea upande fulani.

Endapo uongozi wa Star TV hawatamshauri mmiliki wa Star TV ambaye ni kada wa CCM, athari zake ataziona mara baada ya uchaguzi kwisha. Prevention is better than cure.

Mkuu, asante kwa post hii; Star TV wamenisikitisha sana, ni kwamba siko TZ kwa sasa, ila nimenunua kingamuzi cha DSTV, bahati mbaya bado sijaweza kuconnect ITV na Chanel 10, ila StarTV nawapata na TBC;

Kwa kuwa sina namna najikuta naangalia StarTV mara kadhaa lakini wanaudhi sana, ni bora wajitangaze rasmi kuwa wao ni StarCCM
 
Wana JF.

Leo nikiwa kijiwe fulani napata zangu masanga kulikuwa na TV ambayo walikuwa wameweka station ya Star TV. Kwa takribani masaa kama matano niliyokaa hapo nimeona Star TV wamejitoa akili, yaani imekuwa zaidi ya TBC1. Ni full propaganda! Hii inaweza kuwa na madhara makubwa kwa upande wa biashara baada ya muda.

Nadhani ITV hata kama wanatuhumiwa kuwa ni chombo cha wapinzani lakini wako fair au wana balance. Lakini Star TV imekuwa kama CCM TV, hii ni mbaya TV fulani kueleweka moja kwa moja ni TV yenye mlengo fulani au inaegemea upande fulani.

Endapo uongozi wa Star TV hawatamshauri mmiliki wa Star TV ambaye ni kada wa CCM, athari zake ataziona mara baada ya uchaguzi kwisha. Prevention is better than cure.

Star Tv=TBCCM 'B'
 
Back
Top Bottom