Star tv kesho na Mganga- Grayson Nyakarungu-topic Malaria (saa 1:30-3:00 asubuhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Star tv kesho na Mganga- Grayson Nyakarungu-topic Malaria (saa 1:30-3:00 asubuhi

Discussion in 'JF Doctor' started by Nyakarungu, May 2, 2011.

 1. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  nimealikwa mimi nikiwa mtumishi wa afya,kuongelea ugonjwa wa malaria...
  naomba kero zenu huko hosptalini......kwani najua hakuna madawa.
   
 2. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Kwa nini dawa za maralia zinabadilishwa badilishwa wakati mbu anayeambukiza yeye haibadilishi sumu yake?????? Sio kuwa miili yetu imegeuzwa biashara? PIPOOO............................
   
Loading...