Star tv badilisheni rangi ya majina

lifuen2015

Member
May 15, 2015
93
13
Kwa muda mrefu nimekuwa nikivumilia lakini,nataka kuweka wazi,maandishi ya majina ya wahusika katika taarifa ya habari ya star tv,yana rangi kama nyekundu,hivi,kwa kweli ile rangi si rafiki,jina la mtu anayeongea likiwekwa pale walisoma kwa shida,rangi ile kali.

Mie si mtaalam wa rangi ,lakini kama mtazamaji wenu yanitesa
Nashauri tumieni rangi zingine.nawasilisha
 
Back
Top Bottom