Star Times

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,470
270
Wakuu..
Nitawezaje kupata channels za hapa kwetu ukiondoa Ch. Ten, TBC 1 TBC 2wa kutumia king'amuzi tajwa hapo juu?
Kua mdau alichangia post fulani akaweka maelezo haya
"Setup ni kuwa 1.Click Menu button kisha down arrow key mpaka kwenye Item ya nne itakupatia Two Options,Manual and Automatic
2.Click right arrow key ili uende kwenye hizo options kisha uwe kwenye Manual options.
3.Click OK kisha bonyeza 530 kisha Click OK.
4.Ita search na kuonyesha 12channels found.
5.Exit mpaka kwenye Menu kisha ITV,EATV zitaonekana
6.Ukiona ITV na EATV havina sauti bonyenya Track button chini ya Power button kwenye Remote yako mpaka utaona sauti inapatikana.
&.Waambie na wengine.

Nakutakia kila la heri
"


Nimejaribu bila mafanikio...
Msaada tafadhali!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom