STAR TIMES Mrushaji wa matangazo ya WoRLD CUP Russia. Naomba mnipe maelezo

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,045
15,378
Wakuu habari za usiku

Kwanza nianze kwa kusema mm sio mpenzi wa michezo hata kidogo. Sifuatilii ligi yoyote duniani kwa sababu sina interest wala motive ya kufanya hivyo.

Ila atleast inapofika kombe la dunia naweza kutupoa macho kwenye TV ili nione michuano hiyo napenda kuona hamasa za mataifa mbali mbali na na kuona Uchungu na raha zinavyo jitokeza katika kipindi cha mtoano

Najua wote twajuankuwa World cup ipo karibuni kuanza napenda kujua kuwa ni kwa namna gani tutaweza kupata matangazo hayo japo nimesikia Startimes watarusha matangazo

Kuna channels zipi zitarusha matches na kwa vifurushi gani na ghalama zipi.

Pia ningependa kujua kama Ving'amuzi vya Startimes vina HDMI ili tuweze kuona picha nzuri na sauti nzuri

Pia kama alternative ya kutazama Michuano hiyo ni vizuri mkaiweka hapa

Samahami kwa usumbufu.
 
King'amzi cha dishi ndo kina sehemu ya kuchomeka HDMI, maelezo mengine jaribu kutembelea website yao au kama wataona uzi wako watakujibu.
 
TV1 ambayo pia ipo kwenye Startimes. Azam wametuondolea TV1 yetu kwenye king'amuzi chao. Pumbavuuuuuu zaooooooo.
 
Back
Top Bottom