Star Media Tanzania LTD

enery

JF-Expert Member
Aug 21, 2015
368
437
Napenda toa pongezi kidogo kwa wizara ya kazi na ajira kwa awamu hii ya nne.Lakini maagizo yako uliyoacha pale vodacom kwa HR juu ya malipo hayajatekelezwa mpaka leo.

Pili tupo wengine tuohitaji msaada wako toka Star Media Ltd, wachina hawa wanajifanya wameingia ubia na TBC lkn hakuna iyo pale ndan wanajitegemea na wamekuwa wakitunyonya sana wafanyakazi upande wa malipo ni kidogo sanas pia hata watanzania.

Moja wana ving'amuzi watoavyo sasa ambavyop watanzania wanatakiwa wapate channel za local bure lkn hawapati mpaka walipie channel zote, wametoa decoder za dish klwa mikoa ya simiyu, katavi nk, hizi decoder za kuwa nazo makini sana watanzania wengi wanalia baada ya kununua, pili TBS waje wakague ubora wa ving'amuzi vyao, TCRA pia waje waseme channel zatakiwa bue au mpaka watanzania walipie.

NNE wachina wanauza simu ambazo ukiziangalia ktk system ya TCRA ni fake, TRA walikuja pale kukagua lkn zikatolewa zikaenda fichwa call center, wanauza pia TV na vifaa vingine vya pikipiki wakiagiza mzigo unakuja kama ving'amuzi ilandani kuna vyote hivyo.

Yapo mengi ilaa daah, salamu hizi zimfikie pia Mhe, Nape ajue kiendeleacho mle ndan
 
Back
Top Bottom