Standard Operating Procedures

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Waungwana,

Naomba kuuliza.

Je, kuna mtu ambaye anafahamu "Standard Operating Procedures" zinazotumika wakati wa kufanya processing ya "incoming international payments" from overseas banks, ambazo zimekuwa laid down na Central Bank ya Tanzania, yaani, Bank of Tanzania?

Nauliza swali hili kwa kuwa nadhani CRDB wamefanya makosa wakati wa kufanya processing ya fedha zangu ambazo zilikuwa zimetumwa kutoka London. I may have grounds for a lawsuit. Wamenisababishia matatizo mengi sana. Badala ya kufuata procedures wameamua KUZIRUDISHA Uingereza, na kunisababishia hasara kubwa.

I am going to SUE them!

./Mwana wa Haki!
 
Tatizo ni kwamba, wafanyakazi wengi wa benki are not qualified, they make stupid decisions, which have serious consequences!

Someone will have to pay for the damages that will result from this gross negligence. At least since I am their long time customer... 19 years to stay with a bank is a LONG TIME!

./Mwana wa Haki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom