Standard Gauge Railway ijengwe kwa awamu, awamu ya kwanza Dar <-> Dodoma

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
Nimekaa sana na kutafakari why build the whole length of the SGR and then bring in bulky diesel engines that can only manage 120km/hr? Kwa nini isijengwe kwa awamu, phase one Dar mpaka Dodoma, na iwe fully electrified SGR yenye kusupport treni za umeme zenye spidi za 180-240 km/hr? Si kuna bandari kavu inajengwa Dodoma itakayosaidia kuevacuate mizigo inayoletwa na treni from Dar.......
I am not sure of the economic feasibility of this though, ila it is an option worth considering. Ujumbe uwafikie wenye nchi.
 
Dodoma ikafanyeko nn wakati kukavu? Treni lengo lake ni bulky cargo kama Dar -Mwz. Long distances.
My main point ni kwamba tusijenge SGR tu just for the sake of kuwa na SGR. Na kuielectrify yote mpaka Mwanza huenda ikawa ni gharama kubwa mno. Kwa hiyo twende kidogokidogo. Phase one mpaka Dodoma, alafu sio kwamba inaishia hapo. Eventually itafika huko Mwanza/Rwanda/Burundi. Lakini inakuwa ni kitu electrified cha kubeba treni zile zinaitwa 'treni mwendokasi' au Train au Grande Vitesse (TGV) au Shinkansen (Bullet train)
 
Nimekaa sana na kutafakari why build the whole length of the SGR and then bring in bulky diesel engines that can only manage 120km/hr? Kwa nini isijengwe kwa awamu, phase one Dar mpaka Dodoma, na iwe fully electrified SGR yenye kusupport treni za umeme zenye spidi za 180-240 km/hr? Si kuna bandari kavu inajengwa Dodoma itakayosaidia kuevacuate mizigo inayoletwa na treni from Dar.......
I am not sure of the economic feasibility of this though, ila it is an option worth considering. Ujumbe uwafikie wenye nchi.
Nakubaliana na wewe. Mji ukihamia dodoma watu wa hali ya kawaida hawawezi kukaa masaa 8 mpaka 9 kwenye basi kuja Dodoma.
Fast trains zitawezesha mtu kuja Dodoma na Kurudi Dar siku Hiyo hiyo.
 
Nimekaa sana na kutafakari why build the whole length of the SGR and then bring in bulky diesel engines that can only manage 120km/hr? Kwa nini isijengwe kwa awamu, phase one Dar mpaka Dodoma, na iwe fully electrified SGR yenye kusupport treni za umeme zenye spidi za 180-240 km/hr? Si kuna bandari kavu inajengwa Dodoma itakayosaidia kuevacuate mizigo inayoletwa na treni from Dar.......
I am not sure of the economic feasibility of this though, ila it is an option worth considering. Ujumbe uwafikie wenye nchi.
Dodoma haina activities za kurudisha fedha kwa wakati! Kumbuka ni mkopo lazma ujenzi uzingatie kufika DRC (Kigoma), Mwanza, Rwanda, Uganda na Burundi kabla ya popote pale maana kule kuna biashara tayari inayotegemea Bandari ya Tanzania! hatujengi kiutashi wa kisiasa ndo maana kuna kitu kinaitwa cost and benefit analysis ungejiuliza kwanza Dodomka inachangia mapato kiasi gani kwa mapato ya taifa mpaka kutaka treni ya umeme! Ila kwa jinsi mambo yanavyoenda chochote chawezekana maana naona kuna mradi wa Chato International Airport from nowhere!
 
My main point ni kwamba tusijenge SGR tu just for the sake of kuwa na SGR. Na kuielectrify yote mpaka Mwanza huenda ikawa ni gharama kubwa mno. Kwa hiyo twende kidogokidogo. Phase one mpaka Dodoma, alafu sio kwamba inaishia hapo. Eventually itafika huko Mwanza/Rwanda/Burundi. Lakini inakuwa ni kitu electrified cha kubeba treni zile zinaitwa 'treni mwendokasi' au Train au Grande Vitesse (TGV) au Shinkansen (Bullet train)
Halafu Rwanda na Burundi ambao ni stakeholders wakibadili committment yao ya kutumia reli na bandari ya central corridor? Hivi huko Dodoma kuna kitu gani cha maana kiuchumi? Dodoma ilivyo ni moja ya mikoa ya nyuma kabisa kuchangia uzalishaji Tanzania! Mkoa ule hauna ulazima wa kujengewa reli hiyo unayotaka wewe Rwanda, DRC, Uganda na Burundi ndo wapewe kipaumbele kwanza kama kweli tuna nia ya kulipa mkopo wa Wachina na kujiendesha kibiashara na si kifadhila za kisiasa! Kwa kuanzia diesel engine trains zinatosha maana ni bora kuwa na reli kuunganisha Kigali, Lubumbashi, Bujumbura, Mwanza na Kampala kuliko kuwa na ya umeme kuunganisha Dodoma mmoja wa mkoa maskini zaidi Tanzania.
 
Geza point sio Dodoma. Point ni kuwa na SGR inayoweza kusustain treni za mwendokasi za umeme. Reli sio kwamba itaishia Dodoma. Eventually itafika huko DRC, Rwanda na Burundi.
 
hata ya diesel engine inafika speed 120 km/hr! Umeme wa uhakika ni tatizo na sidhani kama kutakuwa na suluhisho miaka 10 ijayo! BTW unakosa the whole idea ya central corridor inaelekea ungekuwa kwenye kufanya maamuzi ungevurunda kwelikweli! Kwenye biashara ogopa kufanya fancy projects pasipo na returns!
 
Na kweli mi nisingekubali SGR ya 120km/hr akati naweza kujenga ya umeme ya 180-240 km/hr. Hizo $7.6 billion zote zinatosha kujenga reliable electricity supply system plus reli mpaka Dodoma.
Besides, serikali ikihamia Dodoma, this will provide a fast means of transport mtu unaenda Dodoma in 2hrs tu. The economic implications could be significant.
Alafu ukiangalia the world over kurun trains hua hailipi. Kinacholipa ni side businesses za makampuni ya reli kwa mfano kukodisha ardhi ya railway reserve (France) na kuuza umeme surplus to the national grid.
 
Nimekaa sana na kutafakari why build the whole length of the SGR and then bring in bulky diesel engines that can only manage 120km/hr? Kwa nini isijengwe kwa awamu, phase one Dar mpaka Dodoma, na iwe fully electrified SGR yenye kusupport treni za umeme zenye spidi za 180-240 km/hr? Si kuna bandari kavu inajengwa Dodoma itakayosaidia kuevacuate mizigo inayoletwa na treni from Dar.......
I am not sure of the economic feasibility of this though, ila it is an option worth considering. Ujumbe uwafikie wenye nchi.
Ila ufahamu kuwa treni zinazotumia umeme kwa speed ya 180-240 km/h haziwezi kuhimili kubeba uzito mkubwa sana na ndio maana wameamua kutumia diesel engines ambazo zitaweza kwenda kwa hiyo 120km/h na mzigo wa kutosha ukasafirishwa,unless kama unazungumzia treni ya umeme kwa ajili ya kubeba abiria.Labda pia ufahamu kuwa treni ya umeme uendeshaji wake ni gharama sana kwahiyo kama itakuwepo basi ujue ni walala hoi wachache sana watamudu kusafiri nayo,na kama tutaleta siasa kwenye biashara ya treni kwa kutoza nauli ndogo ujue haitachukua muda mrefu itakufa.
 
Mnaohamia dom mnatapatapa sana pole yenu.maana mtapelekwa na treni zile mbovu zenye mabehewa feki dar to dom wiki
 
Na kweli mi nisingekubali SGR ya 120km/hr akati naweza kujenga ya umeme ya 180-240 km/hr. Hizo $7.6 billion zote zinatosha kujenga reliable electricity supply system plus reli mpaka Dodoma.
Besides, serikali ikihamia Dodoma, this will provide a fast means of transport mtu unaenda Dodoma in 2hrs tu. The economic implications could be significant.
Alafu ukiangalia the world over kurun trains hua hailipi. Kinacholipa ni side businesses za makampuni ya reli kwa mfano kukodisha ardhi ya railway reserve (France) na kuuza umeme surplus to the national grid.
elimu yako ya uchumi ikoje maana unalazimisha treni ya umeme kuishia Dodoma tuuu...Huko dodoma nani atapanda wakina matonya? kuwa serious, hapa East Africa hamna miji itakayoweza kuunganishwa na treni za umeme na kujiendesha kibiashara! Huku Ulaya kwenyewe serikali zina-subsidize uendeshaji wake yani hizo za Abiria! Uanje ndoto za alinacha!
 
Back
Top Bottom