Standard chattered na stanbic bank

served

Senior Member
Nov 6, 2013
164
54
habari
zenu poleni na kazi,mimi natamani sana kufanya kazi standard charterd
au stanbic bank na honestly cjawahi kuona wametangaza kazi zao
nisaidieni nifanyeje msaada wenu tafadhali asanteni.
 
Kaonane na mameneja uajili wao bila shaka utapata ufumbuzi wa tatizo lako
 
habari zenu poleni na kazi,mimi natamani sana kufanya kazi standard chatterd au stanbic bank na honestly cjawahi kuona wametangaza kazi zao nisaidieni nifanyeje msaada wenu tafadhali asanteni.

Hebu acha kutia watu masimango hawa ni wazungu mambo yao tofauti na bank ya posta ingia kwenye graduate program yao ni mzuri logic na hesabu watakuchukua tu
 
Hebu acha kutia watu
masimango hawa ni wazungu mambo yao tofauti na bank ya posta ingia
kwenye graduate program yao ni mzuri logic na hesabu watakuchukua
tu
asante kwa ushauri
 
Kwa stanbic mume wangu anafanya kazi hpo nafasi ya kazi ikiktoka wanatumiwa email staff woote kma wna ndgu zao au kna mtu anataka kuhama position lasivyo kma humjui mtu yyte uwe umezaliwa na bahat yko tu utapata...na umjue mtu mwenye kicheo kidgo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
yes kwa standard chat.. nenda kwenye website yao then nenda graduate program, jisajili kuna mswali ya mahesabu na logic. mim niliwah fanya nikafaulu hadi phone interview nilifanyia na mzungu kutoka Londoni. bahati mbaya kwenye hyo phone interview ndo sikufanya vizuri. haijalishi umesoma koz gan.
 
thanx a lot ubarikiwe.
yes kwa standard chat.. nenda
kwenye website yao then nenda graduate program, jisajili kuna mswali ya
mahesabu na logic. mim niliwah fanya nikafaulu hadi phone interview
nilifanyia na mzungu kutoka Londoni. bahati mbaya kwenye hyo phone
interview ndo sikufanya vizuri. haijalishi umesoma koz gan.
 
Night surpot akasaport nini sasa jaman we ukipata kazi usmchukulia asie na kazi kama mjinga...... One day na we huko ulipo utafukuzwa then utakaa mtaan milele sasa!
 
habari
zenu poleni na kazi,mimi natamani sana kufanya kazi standard charterd
au stanbic bank na honestly cjawahi kuona wametangaza kazi zao
nisaidieni nifanyeje msaada wenu tafadhali asanteni.

muombe mungu wa mbinguni atakusaidia!
 
Back
Top Bottom