habari zenu poleni na kazi,mimi natamani sana kufanya kazi standard chatterd au stanbic bank na honestly cjawahi kuona wametangaza kazi zao nisaidieni nifanyeje msaada wenu tafadhali asanteni.
nnayo japo cna proffessional ya banking proffessional yangu ni planning.
yes kwa standard chat.. nenda
kwenye website yao then nenda graduate program, jisajili kuna mswali ya
mahesabu na logic. mim niliwah fanya nikafaulu hadi phone interview
nilifanyia na mzungu kutoka Londoni. bahati mbaya kwenye hyo phone
interview ndo sikufanya vizuri. haijalishi umesoma koz gan.
Aende NIGHT SUPPORT
habari
zenu poleni na kazi,mimi natamani sana kufanya kazi standard charterd
au stanbic bank na honestly cjawahi kuona wametangaza kazi zao
nisaidieni nifanyeje msaada wenu tafadhali asanteni.
Kama huna upper 2nd ucjisumbue hata kuomba.