Stand up comedy

Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,581
1,069
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=4JFC67E9iZ4&feature=related[/ame]

We need something like this hapa nyumbani pia...have a nice wkend!
 
Men.
This guy is one of the richest guyz in Kenya.
Very very good comedies infact.
Ngoja nikakugongeee kwanza Thanks
 
http://www.youtube.com/watch?v=4JFC67E9iZ4&feature=related

We need something like this hapa nyumbani pia...have a nice wkend!
im sure we do but lemme say this.....judging from the few events i have been able to attend where the MC or guest of Honour etc tries to crack a joke....from the audience very few chuckles emerge. Seems like hapa home this type of comedy will take a long time to impress people bado tumezoea those action comedies...goosh i miss nairobi :(
 
teteteteh ngoja namie next time nikitembelea Narobi Kenya nikaone live
thanks mtoa mada
 
im sure we do but lemme say this.....judging from the few events i have been able to attend where the MC or guest of Honour etc tries to crack a joke....from the audience very few chuckles emerge. Seems like hapa home this type of comedy will take a long time to impress people bado tumezoea those action comedies...goosh i miss nairobi :(

I am sure with the right talent around this kind of comedy will make a great impact, u r right tumezoea action comedies za kina masanja, bambo, kingwendu etc...where someone has to out a funny outfit, put a funny accent to impress...
 
Am forced to press the Thanks again.
Mwalimu ukiwatch Commedy za hawajamaaa, Utajua TZ tuna a long way to go.
Unajua kina masanja sio 100% commedians. But ni wakosoa jamii in the form of Commedy. Do you get me?
This is difference from this guy! Kuna mija alinivunja Mbavu. eti anamwamwambia mshkaji ni mweusi mpaka akisimama karibu na gunia la mkaa mteja akija atasema ''nipatie hii kubwa'' akijua mshkaji ni gunia la mkaa
 
Atleast appreciate KIDOGO mlichonacho enyi wajukuu wa NYERERE, commedy wa hapa ndio wanaanza, btw bila wao wakenya mngeweza kuwalinganisha na nani?????? badala ya kuwatia moyo mwawananga, KAMA KAWAIDA YENU WATIZEDI, hamupendani HATA KIDOGO???? mnatemea jamaa waanze ghafla wawe juu sawa na wakenya??????

SHAME ON YOU!!!!!!!!
 
Haya maneno yetu ya kujifariji ndio yanatupotezea muda!! Ndio maana bado tunasema tusiilaumu ATCL kwa kutolingana na Kenya Airways kwa vile ndio kwanza inaanza wakati ukweli ni kwamba mashirika yote mawili yalianza mwaka 1977 baada ya kuvunjika Jumuiya ya AfrikaMashariki! Wao sasa wanapaa anga za kimataifa wakati sisi bado tunajikongoja huku tukijifariji kuwa bado ndio kwanza tunaanza...!
 
Watanzania wanaweza standup vizuri tu. Unakumbuka baadhi ya maclassmate wako wale watundu waliokuwa wanatoa impromptu comentary kwa kila kinachotokea darasani? Hao ndiyo good candidates for standup ( tulikuwa tunasema wanatoa ndogondogo), au kwa sisi watu wa vijijini kuna watu huwa wanakaa stand ya basi wanasema vitu vya kuchekesha na hata vilabuni na mabaa wanachekesha hao watu wanatakiwa organization kidogo na kupunguza aibu wanaweza wakatoa standup safi , either kama writers au performers.

Standup is an exagerated comentary on day to day issues.

I always thought that Mr. Light Touch ( A. L.) anaweza kuwa mwandishi mzuri wa jokes au performer mzuri, I wish he could try a David Letterman or Jon Stewart type of show.
 
Komedi hii ni Classic, na inafurahisha kuisikiliza coz so0mebody has employed brains in it.
Hakuna mambo ya kumsemasema mtu kila kukicha...mara...FULANI KAFULIA..fulani kasuuzia..Upumbafu mtupu!
 
Back
Top Bottom