STAND MPYA MBEZI MWISHO-Meya wa jiji hebu tupatie mchanganuo wa stand hii!

Msiwe na haraka jamani,mkuu wa kaya bado yupo ziarani akirudi tutazindua tu,si mnajua kila kitu lazima kizinduliwe na mkuu.
 
Back
Top Bottom