STAND MPYA MBEZI MWISHO-Meya wa jiji hebu tupatie mchanganuo wa stand hii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

STAND MPYA MBEZI MWISHO-Meya wa jiji hebu tupatie mchanganuo wa stand hii!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matope, Nov 10, 2011.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wananchi tunaokaa huku Mbezi Morogoro road tunapata taabu sana kupita eneo la Mbezi mwisho hasa nyakati za asubuhi na jioni ndo usiseme ni balaa, kwa kufikiria kwa haraka stand mpya ilikuwa ndio sululisho ya foleni hasa za jioni.

  Kinachonishangaza imejengwa imekamilika miezi sasa lkn haifunguliwi tumechoka jamani na mwenendo na mipangilio yenu mibovu ya kazi, kwa nn msiifungue?

  Au hata kama pengine kuna tatizo zungumzeni kwenye media tujue basi!
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wanatafuta gia ya kuombea ulaji wa kura..
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kuna tangazo fulani kwenye redio ambapo wananchi wanailalamikia serikali kama ifuatavyo:

  -Tumeomba Visima mmetuletea NETI ZA MBU!
  -Tumeomba zahanati mmeleta mradi wa sungura!
  Tumeomba Barabara, mmeleta rediokaseti ya kijiji!


  Nadhani mradi huo ulijengwa pasipo consultation na stakeholders, na ndiyo maana umekuwa WhiteElepahant hata leo!
   
 4. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kwa kweli mambo haya yanaudhi sana!
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo haitafunguliwa hadi 2015??
   
 6. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Ni kweli eneo hilo ni nightmare ya aina yake. Ni kweli kwamba wengi tulitarajia kwamba hiyo standi mpya ingesaidia kuondoa hiyo foleni kama sio kuipunguza lakini mpaka leo bado haijafunguliwa.

  Kwanza waliijenga bila taa, sasa zimewekwa. Ukiangalia kwa karibu hiyo standi mpya bado ina mapungufu mengi. Sikutarajia stendi iliyojengwa katika karne hii iwe haina vyoo wala sehemu za maduka ya wasafiri kununua angalau maji ya kunywa na soft drinks.

  Na hasa ili suala la kutokuwa na vyoo kwa kweli sielewi huyo engineer aliyedesign hiyo stand alifikiria nini. Fikiria mtu umepanda daladala kutoka Posta mpya unakwenda Mbezi mwisho na hizo foleni za mji wetu huu, minimum unatumia masaa 3 kufika mbezi na ukishuka hakuna choo angalau kujisitiri kwa haja ndogo.

  Nafikiri kuchelewa kufunguliwa kwa stendi hiyo inawezekana kukawa kunachangiwa na tatizo la kutokuwepo kwa vyoo na sasa wanajaribu kutafuta suluhisho.

  Tiba
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 8. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Ufunguzi utafanyika mwakani wakati wa mbio za mwenge!
   
 9. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Itafunguliwa siku ya kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru,usijali mkuu! It has political interests.
   
 10. F

  FredKavishe Verified User

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wanamsubiri kubwa jinga akazindue maana hata vyoo huna anazindua hii mirad midogo ni kupeleka diwani wa eneo husika kuzindua
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Nimeshapiata mara nyingi sana pale, nimegundua kitu kimoja muhimu sana, ile stand haina CHOO au kama kipo basi labda kama kipo kilomita kadhaa kutoka pale lakini nimechunguza sana pale hakuna choo....
   
 12. s

  sawabho JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Ina choo hiyo kweli? Labda wameshtukia hilo.
   
 13. s

  sanjo JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu, pole sana foleni ya Mbezi ni janga baya kabisa kwa wakazi wa maeneo hayo. Pesa nyingi na muda mwingi sana unapotea njiani. Cha kushangaa watawala wetu wanakuwa wagumu sana kukuswa na kero kama hizi. Safari bado tunayo kweli kweli.
   
 14. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Ukiichunguza kwa makini ina mapungufu hii lkn ingekuwa bora waifungue tu walau daladala zikawa zinapack pale kuondoa mrundikano wa wagari hasa hz daladala za mbezi pale!Ishu ya choo turudi kumuuliza aliepewa tenda ya kujenga hii stand,coz hata vibanda vya maji na juisi hakuna ila jambo la msingi ifunguliwe hvy hvy kuondoa hadha tunayopata!!!!
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mipododo
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  labda watu watajisaidia kwenye mifuko ya rambo na chupa. Watajengaje bila choo loh!
   
 17. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ila haitapunguza sana foleni kwa sababu iko barabarani kama ilivyo ya sasa.
  daladala zitakua zinashusha na kupakia juu kwa juu esp. za kongowe,mlandizi msata nk

  Mfano mwingine ni pale tegeta napo ni janga la kitaifa!
   
 18. l

  lasix JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  mi siishi maeneo hayo ila last week nilikua naenda kibaha,mbona nilijuta?toka saaa 11 jioni hadi saa 3 ndo nafika kiluvya.sina hamu na hiyo barabara
   
 19. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Mbona sijaona hata dalili ya taa hapo
   
 20. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Jamaa hawaoni kama ni tatizo hilo wao kwa sababu ten per cent yao tayari huku wengine tukiumia wanafurahia tuu!
   
Loading...