Stanbic bank tanzania kunani...

JayK

Member
Feb 3, 2012
34
33
Kuna tetesi kuwa menegiment yote ya Stanbic Bank Tanzania imefukuzwa kazi kwa sababu mbalimbali ikiwemo Wizi uliotukuka..
Mwenye habari kamili tafadhali atujulishe

***
 
Kuna tetesi kuwa menegiment yote ya Stanbic Bank Tanzania imefukuzwa kazi kwa sababu mbalimbali ikiwemo Wizi uliotukuka..
Mwenye habari kamili tafadhali atujulishe

***

aliyekupa tetesi anasemaje hawezi kukuelezea zaidi?
 
...kuna uzi uliletwa hapa ukizungumzia hii benki kuwa kumetokea wizi wa kufa mtu...
 
Inamaana Tilya ameshindwa kuzuia wizi huo? alikuwa anafanya nini basi! you kiss my balls you bitch stanbic management!
 
Gefu Signature yako nimeipenda sana. Hakika Meli ya Sumu haina Bandari maana ingekuwa na Bandari wangenaswa na TICTS
...hahahaaaa sikuzote inapaki bahari kuu,ikitinga bandarini lazima ilete maangamizi na migogoro ya kimataifa...
 
sielewi nini kilitokea kwa mods uzi ule waliung'oa, md katoka amekuwa re-deployed nairobi, head of HR ( mariam bayumi)out, head of credit (maginga) out, head of products out,head of inestment banking (shose senare) out, and in the branches kuna reshuffle ya kufa mtu,
 
Jamani wkt mwingine tusiamini taarifa on hearsay. Mbona gazetini juzi tu wamemweka na title yake kama bado Head of HR??? Na sasa hivi yuko Kunduchi nadhani HR Summit na anadeliver topic on leadership?
 
mariam bayumis last day of work was 4th june, wewe ndo unafuata hearsay, we just dont post things without data, please respect thinkers!
 
Kulikuwa na MD wake yank fulani hizi medium size na light coloured alikuwa mchapa kazi sana siku hizi yuko wapi?
 
Nimeshuhudia hata branch meneja Mwanza nae out (ila ulitokea wizi) ndipo akatemeshwa na wengine transfer.
 
Duuu kazii!kuna ubadhirifu wa zaidi 15BIl na MD anatakiwa kuwajibika!kazi kweli kweli!wakati umefika Stanbic iongozwe na Mtanzania sasa!
 
Nasikia hata CEO wao keshatimuka nchini hayupo kwa taarifa zenu,lakini nashangaa si hii ni benki kubwa sana ambayo ifikia hataua iakaikopesha serikali sasa leo imekuweje tena
 
Hii si watu husema ni ya jamaa wa somalia na kwamba kuna mkondo wa vijana(al shabab)
 
kumekuwa kunatokea wizi mara nyingi, moshi kama 300 m imesepa na kusababisha meneja kufukuzwa na two other emloyees, mwanza pia wizi na mbeya, ila kubwa kuliko ni pale walipoanzisha usecured loans kariakoo, watu wakachukua mikopo hewa wakaiservice kidogo bank ikaona ina faida mpaka kufungua branch ya pili kariakoo, walipostuka 18 bill haipo, south africans wanataka kufanya overhaul ya bank, in march wamefanyia senior oficers wote iq test wajue je are they right for positions or ni favor, tutaona wengi watakuwa demoted na wengine tranfered.
 
...Stanbic bank tanzania viongozi wake wengi ni wababaishaji' nilikwenda pale kuwahoji kwa nini walipandisha riba ya mkopo wangu kutoka 15% hadi 21% bila kunitaarifu, wakawa wananipiga danadana na kunikimbia... baadaye wakamtuma teller anieleze kuwa BENKI imepewa maagizo na BOT kufanya hivyo!
...kwangu mimi si shangai kusikia kuwa vigogo wa stanbic TZ wametemwa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom