Stamina wa Kabwela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stamina wa Kabwela

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ney kush, Mar 7, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Dah! Wadau wa bongo fleva kuna huyu jamaa anaitwa stamina aseeeeeh! Huyu dogo anaandika wazee dah! Kuna track kamshirikisha jux asee imetulia muno big up! Kwake
   
 2. Z

  Zero_brain Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yap Stamina wa MtuChee ni kiboko namkubali sana
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Yap stamina yupo juu sana barz zake zipo tyt sana,mtu cheee stamina young dee na country boi.....

  "Maisha hayana tafsiri ndio maana hayamjui lufufu"

  "Maisha kama gwaride ukisikia nyuma geuka wa mwisho anakua wa kwanza"
   
 4. S

  Shilla Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Maisha ni kama kombolela na maskini ndio mlinda kopo.
   
 5. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Mende akiangusha kabati seremala rudi veta
  [B/]stamina noma[B/]
   
 6. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Dogo yupo tight kwa punch na uandishi wake upo unique!!anatumia sana comparisons katika uandishi wake wa lyrics!hizi damu mpya zinafanya wazee chupi ziwabane!!!
   
 7. t

  tshaka Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anatamani kula baga ila anashindia viazi vya gairo
   
 8. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hyo nyimbo inaitwa ALISEMA amemshrikisha jux,nyimbo kali sana, baada ya kabwela
   
 9. e

  ericB Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mshkaji yuko level nyingine.. In my opinion he is well on his way to become a force to be reckoned with in the hiphop industry, if he isn't already.
   
 10. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Daah! dogo balaa anakuambia "maisha ni kama gwaride ukisikia nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza.....pesa imekuwa adimu kama bikra kwa changudoa".
   
 11. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Sio kila muuza duka ni mchanga, so nisiogope kuitwa mangi/kupanda na kushuka ndo chati isiyo kuwa na rangi

  fireeee.....
   
 12. +255

  +255 JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  -Usilete uchizi mbele ya daktari wa magonjwa ya akili.
  -Kama pesa hazilali mtafutaji usichonge kitanda
  -Kama muda ni pesa ni bora nifungue account ya saa.
  Hizo ni baadhi ya punchlines toka kwenye wimbo wake wa "Alisema"
   
 13. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,502
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  dogo anajua lakini ni kosa kubwa kusema anafanya wakubwa chupi ziwabane coz hajafkia hata THELUTHI YA MTU KAMA FID Q,MWANA FA etc.!!
   
 14. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  "nataman kula baga naishia viaz vya gairo"
   
 15. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  Maisha yana nipodoa bila kutumia cosmetics.
   
 16. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,458
  Trophy Points: 280
  hii ya pili sijaipata ngoja niitafute...kiukweli dogo anaimba hipopu ya kweli anaumiza sana kichwa.
   
 17. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Umemaliza!!!mkubwa habanwi chupi kwa hit moja ya underground!
   
 18. t

  thengoshahimself Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  basata wampe zawadi anakuza kiswahl vzur sana
   
 19. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ahsante!
   
 20. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haha, hipopu ya kweli eh? Mi binafsi sijamkubali mpaka aje tena na tena na tena. Wangapi wamekuja na kupotea? Naona misemo yake inawafumba macho lakini naona kiuandishi bado haja'mature na kama hatapiga hatua kutoka hapo alipo. Mwaka kesho mbali! Ahsante!
   
Loading...