Stamina towards political torelance

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,233
Naona kuna haja ya kuwa kitu kimoja ili tuweze jenga nchi yetu ya Tanzania hasa baada ya matokeo ya uraisi bse kikatiba hayapingiki yakishatangazwa so ni kheri kuyakubali
Ila kwa vyama ambavyo vina hoja na evidence kuna haja ya kwenda mahakamani ili kuweza kuyarudisha majimbo ambayo mumepokwa tonge mdomoni.
We need to torelate one another for the betterment of Tanzania as a whole
 
HUO NDIO UTARATIBU

MAHAKAMA ZIPATE KAZI HIZI.

TENA KUNA MAJIMBO MENGI AMBAYO CCM WAMESHINDWA KWA MARGIN NDOGO, ila naamini kwa kuwa CCM ni Chama kinachopenda upinzani, kitawalea wakue/
 
Back
Top Bottom