Staili ya utumbuaji wa majipu ni sahihi?

FORCE NAMBA

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
937
327
Wanavamia saiti wakiwa na waandishi wa habari za dokomenti zote kisha wanakutaka maelezo je, ni sahihi ?
 
Wewe unapendekeza watumbuliwe vipi, kwa kuficho? Kama Bunge tunalilia liwe "live", kwanini tusiwashukuru waandishi wa habari kutujuza!
 
Back
Top Bottom