Staili ya kupiga mvinyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Staili ya kupiga mvinyo

Discussion in 'Jamii Photos' started by Emanuel Makofia, Mar 30, 2010.

 1. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Staili ya kupiga mvinyo Dubai :D
   

  Attached Files:

 2. Y

  YE JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mjomba hiyo tumbaku!
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,291
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Natamani hii picha ingetokea hapo juu mbona inachekesha sana Mvinyo unapigiwa kwenye Kiko?:D
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,619
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hapo ni Sheesha Lounge... Mbona hamna la ajabu???
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,588
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Oyaaaaa! nani kakwambia huo ni mvinyo??
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,303
  Likes Received: 669
  Trophy Points: 280
  Ni mvinyo kweli? Nadhani watakuwa wanavuta midude yao manake nshawahi ona documentary moja na kuna jamaa walikuwa wanavuta nadhani ni tumbaku au miulevi yao mingine manake hapo kwa juu kuna moshi fulani hivi!
   
 7. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Siyo moshi ni barafu ya kubaridisha mvinyo:D
   
 8. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,819
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Tumbaku inaitwa mvinyo siku hizi? Hata hapa mitaa ya kati ipo pia...slipway
   
 9. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #9
  Mar 30, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Mmh siyo sigara/bangi jamani?
   
 10. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Siyo kiko FL,ni mrija angalia vizuri juu kabisa kuna barafu!!:D
   
 11. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,756
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Huu sio mvinyo bana ni Shisha hiyo asili yake ni Asia watu huvuta hiyo wakiwa na imani kuwa tumbaku yake inachujwa kuliko sigara lakini si kweli na huwa inaruhusiwa hata kwa kipindi cha mfungo wao kule kwa waarabu
   
 12. nyaunyau

  nyaunyau Senior Member

  #12
  Mar 30, 2010
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 121
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hiyo ni tubaku,moshi unapitia kwenye maji.
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mkuu makofia acha ubishi bana. Hiyo ni kiko kiongozi.
   
 14. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 495
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hio ni Sheesha wajameni, hata huku A-town maeneo ya Maasai Camp inapatika plzzzz.. na hapo juu yake ni mkaa wa moto au vijinga vya moto na wala si barafu wazeya ////
   
 15. h

  housta Senior Member

  #15
  Mar 31, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  You are missing the point!Huo si mvinyo kama ulivyosema!Research before posting pictures here!
   
Loading...